Je, TL angetulia angefaa kuwemo ktk timu makinikia?

Je, TL angetulia angefaa kuwemo ktk timu makinikia?

IMG_20170615_091644_767.JPG


Picha inajieleza
 
Sizani kama upo sahihi. Lisu huyu aliyejitokeza adharani akidai Tanzania itashtakiwa na kunyolewa na maji ya baridi. Uzalendo wa kina Lisu imebaki kutetea wezi tu and not otherwise.
Shida yenu nyinyi wa Kijani ni kua kila kinachosemwa na Wapinzani mnakiona hakina maana, yaani hata mafikirishi akili zenu kujadili, mnakikataa tu. Tukiweka ushabiki pmbeni, Lissu anakubali kua tunaibiwa hajakataa kabisa, ila tunaibiwa wapi ndio tunatofautiana.

Lissu anasema tunaibiwa sababu ya mikataba mibovu, tunaibiwa sababu ya watendaji wetu wabovu. Tumesaini wenyewe sheria kua dhahabu ni yao hawa wezi, na mchanga ni wao pia, ukiukamata ukaung'ang'ania ni sheria yako mwenyewe na za kimataifa (MIGA) ndizo zitakazokufunga, Ndio maana akashauri kua tubadilishe sheria zetu kwanza kisha tujitoe MIGA.

Na kwa kuliona hili hata Rais mwenyewe ameagiza kua sheria zibadilishwe. Zilezile sheriaambazo nyinyi wa Kijani mlizipigia makofi wakati zinatungwa mkajibu kwa sauti Kubwa NDIYOOOOOOOOOOOO wakati wapinzani wakizipinga that time mpaka mkamtoa Zitto nje na kumfukuza bungeni ndio hizo hizo leo zinaonekana zinatunyonya baada ya watu kama kina lissu kuzipigia kelele.

Embu acheni ushabiki wa kisiasa kujadili ni nani aliesema, nyinyi jadilini alichokisema kina mantiki na faida gani. Rasilimali za nchi hii hazina Uchama,
 
Lisu kaumbuka sana yeye alisema tutashitakiwa na tutalipa hela nyingi kwenye macampun ya madin wakati wahusika wenyewe wa madini wamekubali sasa hapo lisu na mtu gan ktk nchi hii?
Tulia kwanza ndiyo mchakato unaaza.
 
Tatizo Jamaa domo tu, lakin kuna wakati ana point, nadhani kipindi hiki cha kuunda First Eleven ya makinikia na Barrick Kocha angeweza kumuingiza ila kwa harakati zake mmh sijui.
Au mnaonaje tushauri awepo nn?

Hebu wataje wengine wanaofaa kuwemo katika hiyo timu.
Kutulia kwa maana ya chama kilichokongoroka ccm , ni kushiriki kuvunja katiba kama anavyofanya Mwenyekiti wao sio ?
 
Alishasema " sihitaji uteuzi wa Magufuli!" Mbona unawaza kisichowezekana?
 
Wewe Lissu Abaki Huko Tu Si Unakumbuka Alivyokuwa Anajisifu Kuwa Yeye Ndiyo Aliandaa List Of Shame Unakumbuka Kilichokuja Kutokea? Amuache Aendelee Kuwa Burudisho Tu La Wananchi Kwa Uropokaji Wake Ule Kuna Kipindi Alimufananisha Ns Job Ndugai Na Toilet Paper Wakati Wa Sakata La Escrow Huyo Ni Bingwa Wa Kuropoka Na Mipasho Huenda Akawa Na Hoja Ila Kichwa Hakijatulia Dish Limeyumba
 
Issue ni uwezo na Uzalendo...Si lazima Kabudi kuingia anaweza akafuatilia tu...nchi hii ni kubwa na ina wataalamu wabobezi....majaduliano sio kelele za majukwaani....I wonder Wanasiasa wanavyoropoka kwa kusoma abstract za reports.
Una maanisha magufuli anaropoka au?
 
Back
Top Bottom