Wana jamvi, tunaweza kuwa na mitazamo tofauti kulingana na miegemeo ya siasa zetu. Lakini inapofikia USALAMA wa nchi yetu tunavua RANGI na KOFIA za VYAMA vyetu na tinabaki Watanzania WALIO na UMOJA. Maana hatuna nchi nyingine ila ni hii yetu Tanzania.
Tunaweza kuchagua marafiki huku tukiwa MACHO. Waswahili wanasema "MLA nawe HAFI nawe bali MZALIWA nawe"
Ni juzi tu wakati mashirika makuu 6 ya kijasusi 6 ya Marekani
CIA,
FBI,
NSA, ikiwemo pia kitengo cha
DNI Director/Mkurugenzi of National Intelligence kinachounganisha Taasisi zote za kujasusi za Marekani.
KIMETOA TAHADHARI kwa RAIA wa Wamarekani kuwa WASITUMIE wala KUNUNUA simu za HUAWEI zikiwemo za kampuni za ZTE.Ambazo zinaaaminiwa kumilikiwa na jeshi la China kwa kutumia Kampuni binafsi ya Mwanajeshi MSTAAAFU akitumika kama chombo cha kijasusi katika kudukua ili kulipa taifa lake leverage/UMBELE MBALI MBALI KATIKA NCHI WAZOZICHAGUA ikiwemo Marekani.Africa nk katika mambo ya kiuchumi nk.
Baada ya ripoti ya uchunguzi wa muda mrefu ya vyombo vya kijasusi vya Marekani zime RECOMMEND/SHAURI kuwa, simu ziitwavyo HUAWEI za China ziligundulika kuwa zinatumiwa na shirika la ujasusi la China katika UDUKUZI hasa katila masuala MAKUU mawili.
UCHUMI na KUIBA
TECHNOLOJIA.
Inasemekana HUAWEI inapoingia katika MTANDAO wa SIMU kitu kinacho fanyika ni kujua nani ni nani. na KU MODIFY/KUINUA juu teknolojia yao zaidi ya nchi mwenyeji ilikupata habari mihimu za NDANI wanazozitaka kwa MANUFAA ya nchi yao.
SWALI?
1.JeTISS yetu mnajua hayo? Na kama mnajua ni hatua zipi mlizochukuwa kuutahadharisha umma?
2.Je watumishi ndani ya TISS je ni SIMU gani WANAZORUHUSIWA kuzitumia na ni zipi WAZIZORUHUSIWA kuzitumia?. Maana ni lazima kuwe na official circular. La sivyo Huendas WACHINA wakajua nani hasa ni mkuu wa kitengo cha UCHUMI na ni nani na nani nani na wanakaaa WAPI nk. Na nini MIKAKATI ya KIUCHUMI ya Tanzania na ikiwemo UDHAIFU wao nk.
3.Je TISS mmechatoa USHAURI kwa VIONGOZI wetu wa sehemu NYETI KUTOINGIA Kwenye MIKUTANO NYETI BILA SIMU KAMA HIZO AMA ZINGINE MSIZOKUBALIANA NAZO?
4. Je maafisaa wa TISS wakati wa KUTUMA mawasiliano MIKOANI/WILAYANI AU /Makao makuu,kuna ilani kuwa ni HATIA KUWA na simu kama HIZO? .Ili KUZIBA mianya???
5. Je TISS mmewashairi nini MWAWAZIRI wanaonunua SIMU kiholela na kuingia nazo IKULU? bila kujua implications za KIUSALAMA?
Mimi si Security consultant bali RAIA wa kawaida tu.
Swali?
For How long WACHINA watakuwa mbele yetu katika mambo ya
MAKANDARASI,
USALAMA na
UCHUMI wetu kwa ujumla.
Kama HAMTATUTAHADHARISHA kama RAIA?
China si RAFIKI bali ni RAFIKI wa MASLAHI yake. Tusipolijua hilo ni hatari sana.
Wachina si WAJINGA kutupatia kila kitu kama misaada.
Sijui MAJENGO, COMPUTER, sijui nini.
Kuna kitu WANACHOKITAFUTA.
TISS Tusaidieni.
Pigeni marufuku MTUMISHI wa serikali kuwa na simu aina ya HUAWEI ama kampuni yeyote ya
ZTE ama yeyote ile mnayojua inaweza kuhatarisha hasa UCHUMI na Usalama wetu.
Tusipofanya hivyo basi MAJUTO ni MJUKUU!!