Je, TCU wameshafunga Transfer window?

Je, TCU wameshafunga Transfer window?

Ndama Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
1,540
Reaction score
1,546
Leo ndiyo tarehe 5 ,kama sijakosea. TCU calender ilionesha kuwa watafungua dirisha lá uhamisho kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza,

jé wamefungua tayari?

Taratibu zipoje zá kufuata ili mwanafunzi aweze kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine?
 
TCU wabovu saana kufata ratiba. Ilitakiwa tareh 5 inapoingia tu dirisha liwe wazi. Ila mpaka sasa kwenye website yao hakuna taarifa yoyote.. Kwenye media zingine pia hakuna na ni saa7 hii.

Sasa sijuh uzembe, uswahili au dharau. Au wataalamu wachache.

Maana kila kitu kishakuwa planned kitambo tu. Now ni kupronounce tu. Ila dah.
 
Leo ndiyo tarehe 5 ,kama sijakosea. TCU calender ilionesha kuwa watafungua dirisha lá uhamisho kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza,

jé wamefungua tayari?

Taratibu zipoje zá kufuata ili mwanafunzi aweze kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine?
naweza kusema , baadhi ya vyuo ndo wamefungua internal transfer to change programes inside the university , mfano UD , UDOM ,, ila for inter university , subili tcu watangaze wao maana wenyew ndo kila k2 ,
 
Asante mkuu kwa taarifa
 
TCU jipu saana. Ratiba wanapanga wenyewe na wanashindwa kuifuata, Leo tareh 6 na bado hakuna taarifa ya aina yoyote. Si ujinga huu.

Siku zao zinahesabika.
 
TCU jipu saana... Ratiba wanapanga wenyewe na wanashindwa kuifuata... Leo tareh 6 na bado hakuna taarifa ya aina yoyote .... Si ujinga huu.

Siku zao zinahesabika.
Tuwavumilie mkuu!
 
Tuwavumilie mkuu!
Isee! Kama unataka kuhama nena kwenye chuo unachokitaka mapema sana nenda na copy za vyeti vyako pamoja na admission letter ya chuo unachotoka ukifika pale utaandika barua, vyuo vingi vishaanza kupokea maombi ya inter university transfer
 
mkuu ,naomba kuuliza , je kuna tozo zozote zile zinazohitajika mfano ada ya transfer fee ?
 
Isee! Kama unataka kuhama nena kwenye chuo unachokitaka mapema sana nenda na copy za vyeti vyako pamoja na admission letter ya chuo unachotoka ukifika pale utaandika barua, vyuo vingi vishaanza kupokea maombi ya inter university transfer
Nashkuru mkuu kwa kunipa mwangaza, ila nilitegemea TCU wangetoa muongozo hatua zá kufuata ili mwanafunzi ahame kutoka chuo kimoja kwenda kingine, kama walivyoweka tarehe ya kuanza kufanya hivyo
 
Isee! Kama unataka kuhama nena kwenye chuo unachokitaka mapema sana nenda na copy za vyeti vyako pamoja na admission letter ya chuo unachotoka ukifika pale utaandika barua, vyuo vingi vishaanza kupokea maombi ya inter university transfer
Admission letter unaweza kuipata hata usipokuwa chuoni?
 
Ukienda kwenye tovuti yao utapata taarifa
 
Na leo ndio tareh 8 ilitakiwa jana iwe aproved tranfer hadi now kimya hawana usemi wowote... Kimya wamekausha hawana mpngo

Back
Top Bottom