Je, TCU wameshafunga Transfer window?

Je, TCU wameshafunga Transfer window?

Nilielew but watu waliotransfer walishajibiw direct na chuo
Hakuna iyo kitu...

Tar 7 ndio ilikuwa siku ya kuprove transfer na tcu, hawajatoa chochote mpaka sasa.

Ina maana hata vyuo bado havijapewa taarifa.. Nimefatilia.

Tcu ni wazembe saana jipu lile
 
May be Tarehe 7 iliangukia weekend,ngoja tuone kesho siku ya kazi
 
Mkuu leo siku ya kazi na bado wamekausha imepita... Lile ni jipu..

Ratiba wanapanga wao na kuitekeleza wanshndwa wao.. Hii ni dalili moja ya kutojielewa na mipango yao... Kama ratiba ya mwez tu inakushnda unadhana atapanga ratiba ya mwaka uyo
 
Duh! Hatari Sana mkuu.
 
Kuna yeyote jamani ameshapata majibu kuhusiana transfer zilizoruhusiwa na TCU? maana Calendar ya TCU inaonyesha majibu yalikuwa yatolewe December 7 na leo ni December 12 kimya kbs
 
Wale wote , waliofanya transfer ni hivi fanya juu chini uende katika chuo ULICHOOMBA KUHAMIA THEN NENDA UKAULIZE HUKO HUKO , NDO WATAKUPA MAJIBU . HAPA ARDHI WALIPIGIWA SIMU KUWA WAMEKUBWALIWA , THEN REG.NO TIYARI . SO FANYA JUU CHINI UENDE KATIKA CHUO ULICHOPELEKA OMBI LA KUHAMIA .
 
Kuhusu mkopo aseee , sahau mkuu kama umefanya transfer ,

Then hivi ELIMU FINANCING YA AMANA BANK IPOJE WAKUU MAANA NASIKIA SIKIA TU .
 
Kuna yeyote jamani ameshapata majibu kuhusiana transfer zilizoruhusiwa na TCU? maana Calendar ya TCU inaonyesha majibu yalikuwa yatolewe December 7 na leo ni December 12 kimya kbs
TCU bado hawajatoa mi Leo nilienda utawala wa chuo kuulizia na wao hawajui TCU watarudisha Lini majibu
 
Walisharudisha majibu mim mwenyewe nmepewa majibu Leo ya kutransfer pia udom kitambo sana walipata majibu kutoka TCU

Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu bado hayo uliyopewa wewe ni majibu ya chuo ukikubaliwa chuoni ndo wanapeleka TCU kwa ajili ya final approval af TCU ndo wanatoa final so subiria ya TCU unaweza kubaliwa na chuo ukatemwa na TCU
 
Wale wote , waliofanya transfer ni hivi fanya juu chini uende katika chuo ULICHOOMBA KUHAMIA THEN NENDA UKAULIZE HUKO HUKO , NDO WATAKUPA MAJIBU . HAPA ARDHI WALIPIGIWA SIMU KUWA WAMEKUBWALIWA , THEN REG.NO TIYARI . SO FANYA JUU CHINI UENDE KATIKA CHUO ULICHOPELEKA OMBI LA KUHAMIA .
Chuoni pia wanadai hawana taarifa zozote toka TCU, vyuo vinavyotoa majibu vinatumia uzoefu tu kwamba kwa kuwa wao wamekupokea na nafasi ipo basi tcu hawawez kupinga... Ndio wanasema tcu washajibu...

Ila so far tcu ni horobo kabisa.. Calendar yao ilitakiwa wajibu aproval tareh 7 hadi leo kimya na hakuna info yoyote... Niliwachek kwa email hawajajibu.. Simu hazipokelew...

Km una ndugu pale tuwaulize wana tupate result kamili... Time inakata hii

ubabaishaji usio kwisha! Kila kona
 
Wale wote , waliofanya transfer ni hivi fanya juu chini uende katika chuo ULICHOOMBA KUHAMIA THEN NENDA UKAULIZE HUKO HUKO , NDO WATAKUPA MAJIBU . HAPA ARDHI WALIPIGIWA SIMU KUWA WAMEKUBWALIWA , THEN REG.NO TIYARI . SO FANYA JUU CHINI UENDE KATIKA CHUO ULICHOPELEKA OMBI LA KUHAMIA .
Aisee ndugu yangu chuoni alikoomba kuhamia hadi leo asubuhi wamemjibu kuwahawajapata bado majibu ya approval kutoka TCU, so bado ni kizungumkuti tu hadi sasa, hajui itakuaje na hata hajapewa namba ya usajili anaambiwa hadi approval kutoka TCU itolewe!!
 
Sisi chuon kwetu watu kibao wamehamia tena majibu walishapewa tokea mda mrefu tu na washasajiliwa ,kinachosubiliw kutok TCU ni kwamba TCU wafute usajiri wako kutoka katika chuo cha mwanzo na ubaki kwenye chuo kimoja tu ambacho ndio umehamia .sasa hvyo vyuo vinavyosema vinasubir majibu kutok TCU hapo nikwamba tu wamekukataa ila hawataki kukuambia.
 
yeye jamaa yangu kakubaliwa na chuo na anasomakbs ila hawajampa namba ya usajili bado wanasema wanasubiri approval ya TCU,
 
Hakuna mtu anaruhusiwa...kusajiliwa mara mbili... System inakataa... Unasema eti washasajiliwa wanasubiri tcu kufuta usajil mmoja...

Haupo uo utaratibu... Watu wasingetransfer sasa... Si wangekuwa wanajisajiri tu

Back
Top Bottom