Je, tatizo ni wanawake au wanaume?

Je, tatizo ni wanawake au wanaume?

Sometime kuchokoza mada zinazohusu maisha yetu ya kila siku ni jambo zuri,maana tunapata nafasi ya kujifunza kwenye mjadala husika.
Hoja yangu chokonozi leo itaonyesha changamoto anazokabiliana nazo mwanamke anapofanikiwa kielimu na kimaisha,Kwamba kadri mwanamke anavyokwea ngazi ya mafanikio ya kielimu au kimaisha ndivyo wanaume wanavyozidi kumkimbia.
Je tatizo ni wanaume au wanawake?
Karibuni!

Inasadikika kwamba wanakuwaga na nyodo sana na wanaume wa sasa hivi hawapendi wanawake wenye nyodo
 
Na chanzo ni uoga wa wanaume huwa hawapendi kuona wamepitwa either kielimu, kifedha hata kama mwanamke ata play part yake, bado wanaume hatajiamini kwa sababu ya kupenda uonevu na wasiwe wanapewa challenge.In short kila MTU atumie nafasi yake vizuri ka ni mwanaume act ka mwanaume, pia mwanamke amheshimu mumewe ka kichwa cha nyumba ila sio kuburuzwa tu ka kondoo hata kama ni ujinga.

Nyie viumbe uzao wa hawa nyie basi tu:what::what:,dk2 mbele/dk2 nyuma,hamtabiriki kabisaaa,.
 
Hiyo ni inferiority complex tu inawasumbua watu!

Mi nakubaliana na wewe kwa asimilia mia maana utakuta mwanaume akiwa na mwanamke aliyemzidi hata akishauriwa kitu ataona kwa vile kasoma au kwavile amenizidi kitu ambacho kinapelekea mahusiano....hivo kwa Mimi tatzo kubwa ni kwa wanaume kushindwa kujiamin na kutimiza majukumu yao kama wanaume
 
Nyie viumbe uzao wa hawa nyie basi tu:what::what:,dk2 mbele/dk2 nyuma,hamtabiriki kabisaaa,.

Wala sisi hatuna shiider tatizo ni nyie mmejiaminisha kimfumo flani kwa kuwa mi ni kichwa cha nyumbani basi staki mwanamke anizidi chochote sasa hapo ukiona aliye kuzidi mnakua waoga na hamjiamini.
 
Wala sisi hatuna shiider tatizo ni nyie mmejiaminisha kimfumo flani kwa kuwa mi ni kichwa cha nyumbani basi staki mwanamke anizidi chochote sasa hapo ukiona aliye kuzidi mnakua waoga na hamjiamini.

Nyie ndio mnakiuka maagizo ya Mungu,mume ni kichwa cha nyumba hilo halipingiki ni amri, but tatizo linakuja pale mnapofanikiwa zaidi ya wenzi wenu mnaota ndevu akilini,mnashindwa kujitambua na mnajiona mnauwezo wa kuishi bila mume na kama uko nae unataka uwe final say ndani ya nyumba,jisahihisheni.
 
Haipendezi mwanamke anapokuwa na power kiuchumi kumdharau wala kumnyanyasa mume au mpenzi wake, lakini mambo yapo viseversa, na ndio maana wanaume wanaogopa.

Nadhani cha msingi ni kuangalia tu hata kama umempenda mwanamke aliyekuzidi kwa namna fulani, jaribu kumsoma kwanza utajua tu kama analinga kwa jinsi alivyo au la! Mbona wapo wanawake wengi tu wa namna hiyo wenye kujitambua na hata ukiwa nae hakuna mtu atakayejua kama mume wake ni darasa la 7 na hana pesa.

Kuwaogopa sana sio busara, we nenda eleza shida yako akikubali tumia fursa hiyo kumsoma utaelewa tu anatumiaje elimu na uwezo wake kiuchumi, ukiona majanga unasepa. Acheni kutukosesha bahati bana watu tupo na elimu zetu na mahela halafu hatuna waume eti mnatuogopa acheni uboya.
 
Ebu weka mifano miwili mitatu kwa baadhii ya walio juu kiuchumi na kielimu na wameolewa na la saba na mmachinga?
 
Ebu weka mifano miwili mitatu kwa baadhii ya walio juu kiuchumi na kielimu na wameolewa na la saba na mmachinga?

Ninao ndugu zangu niwajuao live na maisha mazuri sana yote hii ni kutokana na uelewa, by the way mtu alazimishwi oa /olewa na umtakaye.
 
Back
Top Bottom