Nchi imewekeza zaidi kwenye siasa uchwara. Technology kwetu sio issueMkuu achana na ukakamavu, dunia ya leo inahitaji advanced technology
Je wapo vizuri?
Kabisa mkuu,maana ni kitambo sana USA hajaenda front kupigana.Anachokifanya Usa .. kimaadili na kwa mujibu wa Sheria hayuko sahihi... Lakini deep down ukifuatilia pasipo biasness na chuki ,USA yuko sahihi ku conquer mataifa mengine kwa maslahi mapana yake. Kuwa world superpower inabidi alipe heavy price ili ku maintain kuwa juu
Na ndio anachokifanya.. na unaweza Kuta anaenda Frontline kupigana ili ku stimule trade deals around the world... Angalia tu sahivi hii vita yake na Iran,, Kuna nchi tayari bei ya mafuta imepanda ... Sio kwa bahati mbaya... Watu wanaweza sema mmarekani ana chuki na ayatollah kumbe nyuma ya pazia maybe ni kutaka kuwa Monopoly wa kudhibiti supply ya mafuta duniani... Angalia kilichotokea Venezuela then angalia Iran... Ukifuatilia vizuri Kuna mfanano fulani wa interest za mmarekani nyuma ya paziaKabisa mkuu,maana ni kitambo sana USA hajaenda front kupigana.
Haikwepeki hiiAliyejuu humdinya aliyechini kwa mujibu wa kanuni ya asili.
hebu aende fasta iran akamalize vita kabla hali haijawa ngumu kwenye mataifa masikiniKabisa mkuu,maana ni kitambo sana USA hajaenda front kupigana.
Usipokuwa na uchumi mkubwa huto heshimika.Je na sisi tunaweza tukatunisha msuli?
Je Jwtz inaweza ikatuonesha suprise kwa raia wake na kwa ulimwengu kwa ujumla?
Je tuna mahandaki kwaajili ya usalama wa raia,
Je tuna air defensive systems
Je tunaweza ishika sehemu nyeti dunia kama vile Hormuz