Je tanzania kuna computer miss-use act?!!

Je tanzania kuna computer miss-use act?!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
771
Reaction score
349
Hallow wakuu ningependa kufahamu hili na je nitaipata vipi hii act! au kama kuna maelezo ya ziada yatasaidia pia. thanks
 
Mkuu unataka kujua au tayri unajua kuwa ipo na unaitaka?
 
sidhani kama ipo, sijawahi hata kuisikia.
 
Thanx kumbe hakuna. na hawa watu wa mawasilino hawausiki na miss use yaa internet?
 
asilimia 75 ya watu hawajui hata kutumia hzo cmptr znyewe!
 
Mkuu tunaitaji kutembea kabla hatujakimbia..., hizo computer zenyewe za kuziwekea Act zipo wapi?
 
Back
Top Bottom