Je Tanzania inafuata mfumo gani wa uchumi?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,461
3,210
Kuna aina tatu za mifumo ya uchumi duniani amabyo ni; ubeperi, ujamaa, na mchanyanyiko wa ubepari na ujamaa.
Naoma kujua, je Tanzania inatumia aina ipi?, je umeainishwa sehemu gani katika Katiba?
Naomba kuwakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…