Tilalilala
Member
- Nov 30, 2014
- 78
- 66
Kama mita namba na namba za nyumba si tofauti? Hairuhusiwi.Naomba kuuliza swali mimi nakaa kwenye nyumba ya taasisi ila nyumba yangu ina umeme ya jirani yangu ipo kama mita 70 hivi haina umeme ila nataka kutoa waya kutoka kwenye extension yangu mpka kwake ili aweze kutumia kwa matumiz madgo madgo kama kuchaj simu n.k JE HII INARUHUSIWA MAANA NI NYUMBA YA SERIKALI NA MITA INASOMA JINA LA TAASISI?
We mdanganye tu mwenzio..Umeme uliopita kwenye mita Yako...una haki ya kutumia utakavyo. Hata kumpa jirani. Ila umeme ambao haujapita kwenye mita huo ni haramu kama madawa ya kulevya.
hahahaha
Kwani taasisi ndo imekufungia hiyo extension au wewe?Sasa hyo adhabu itanihusu mimi au taasisi ndio itawajibika😳😳
Duu ulikuaje ukawa mtumishi kama hujui ku reason simple question kama hili? Au nyie ndo mnaopatikana kwa mchongo?Sasa hyo adhabu itanihusu mimi au taasisi ndio itawajibika😳😳
Acha kumdanganya hilo ni kosa kubwa sana, kinacho ruhusiwa ni kama nyumba zipo kwenye kiwanja kimoja, tu, na iwe na matumizi madogo ya umeme, kwani kama ni nyumba yenye matumizi makubwa, inaweza leta tatizo kutokana na ukubwa wa waya unaoleta umeme tika kwenye nguzo kuleta kwenye mita kuzidiwa. Yaani ikibainika umempa jirani yako umeme, adhabu yake ya kwanza ni kuondoa mita hiyo kwako.Umeme uliopita kwenye mita Yako...una haki ya kutumia utakavyo. Hata kumpa jirani. Ila umeme ambao haujapita kwenye mita huo ni haramu kama madawa ya kulevya.