Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,082
- 14,993
Ulisha wah kufika hiyo sehem?Harufu inatoka wapi?? Ni chakura kikubwa hicho Nigeria na Ghana.. supermarket maduka yao hata Europe zipo na wanauza..kujifanya msafi na kukandia jamii unayohisi ipo chini ndio shida ya wabongo.
Ruvuma?Hahahahahaha inaitwa supu ya magozi gozi, utotoni enzi hizoo Temeke sokoni kulee, tumekula saaana
Kipande ilikua shilingi 20
Ikifika jioni tuu, tunakusanyana watoto wa mtaani hapo Ruvuma, mkamba, Madenge tunaanza safari
Unaelewa njia zinazotumika hadi bia ikaitwa bia na kunywewa?Ngoja nikujibu ni zile pombe wanaita mataputapu mfano ngongo,mabanana na zile za Bei rahisi rahisi
Je nawe wa mtaa wa Ruvuma auRuvuma?
Sielewi mkuu hata hapo breweries niliendaga kupiga kazi za kibarua kama mbeba kreti tu!Unaelewa njia zinazotumika hadi bia ikaitwa bia na kunywewa?
NmekomaPoleeeeh
Mie kwetu ni Mkoani Ruvuma, ndo nashangaa Dar kuna mtaa unaitwa Ruvuma.Je nawe wa mtaa wa Ruvuma au
Poleeeh.Nmekoma
Izo pole zinatoshaPoleeeh.