Je Suis Maxence...






Kama nilivyoahidi; waasisi na wadau wa JF tuna maamuzi ambayo tutayafanya ili kulinda uwepo na uthabiti wa JF. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
Mzee mambo mengine yanawezekana kwa nadharia tu...Je suis Charle Hebdo hata huko Ufaransa haikuwasaidia
 
Utalii moja, kitakachofuata ni kuanza kuangaliwa kwa jicho la tatu na wanaotusaidia kutupa half ya ugali wetu, halafu wakiona sivyo waanze kutubana. Tatizo ni kwamba wanao umia always ni wale wa kawaida na sio hawa wanaoleta huu ubabe wa kishamba.
Kama haya Ndiyo Mawazo yenu tuna safari ndefu sana. Mnadhani na kuamini kabisa kuwa issue ya Maxence ni kuubwa hivyo mpaka watalii waache kuja? Tazameni mifano michache tu, Uganda Pamoja na kuhangaika na Kiiza Besigye, ambaye ni mkubwa Mara elfu moja na kitu kwa Maxence bado wana watalii na misaada kibao achilia mbali kupiga marufuku ushoga ambao Western world ni agenda yao kubwa. Kenya Pamoja na mambo ya 2007 na ugaidi bado watalii na misaada tele...tazameni mambo kwa uhalisia ni Si kuishi kwenye ndoto...
 
ABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
Kaka mkubwa ANADHANI anajenga hehe akapanda mbegu atavuna soon
 
[HASHTAG]#FREE[/HASHTAG] MAX#
mwataka mpewe tukuzo na sifa ilhali hamstahili hata kutazamwa usoni?

Hamuoni soni kuwa mmevimbiwa na Tamaa, Dharau na Ubabe lakini ni Wababe Uchwara ambao hata kuzipiga kavukavu hamuwezi?

Kama mnajiamini, msipoteze muda kumshika max
 

Sidhani kama lengo hasa ni hawa watu wa nje; binafsi sijali sana watu wa nje wanafanya nini. Lengo ni sisi wenyewe. Watu wengine wakituunga mkono sawa; wakikaa kimya sawa. Ni sisi kwa sisi ndio penye kazi hapa.
 
Sidhani kama lengo hasa ni hawa watu wa nje; binafsi sijali sana watu wa nje wanafanya nini. Lengo ni sisi wenyewe. Watu wengine wakituunga mkono sawa; wakikaa kimya sawa. Ni sisi kwa sisi ndio penye kazi hapa.
Sasa wasome wengine humu Ndiyo utaelewa nimachomaanisha...hata ukiwa lengo ni sisi wenyewe unadhani tuna public yenye kujua nini kinachoendelea? Vanity of vanities kama Mhubiri anavyosema...uhalisia hauko hivyo
 
Me nadhani kampeni hizi za kupigania wenzetu ni bora hata zingefanywa na wengine kuliko mwanakijiji. Hata km ni mmoja wa waanzilishi wa JF lkn ni vigumu sana kueleweka na hasa ktk mambo km haya ambayo sisi wengine tunaona ni matokeo ya kile ambacho mwanakijiji na wenzie walikipigania.

Mwanakijiji tulimshauri kipindi kile kwamba amekuwa upande wetu kwa muda mrefu mno na ni mtu anaheshimika sana,hata km alichukizwa na maamuzi ya wenzetu si bora angekaa kimyaa!!

Hivi leo tunamwamini vp mtu ambae anataka kutushawishi kupambana na matokeo wakati alikuwa na nafasi ya kuzuia!!? Mwanakijiji achia wengine wapiganie hii haki hata km watashindwa kuliko wewe.
 
Mwanakijiji kaanza kutoa povu kwa sababu ana maslahi binafsi..mbona wengine walivyokuwa wanatiwa ndani mfano yule chalii wa Arusha ulishangilia?
 
Well, can't help you with that.
Jitafakari upya, haya ni sehemu ya matunda uliyoyapigania kwa jasho na damu mpaka ukaingia kwenye udairector wa kuandaa filamu hapa JF.

Mungu huwa hamwachi salama mtu mnafiki. Huu ndio utawala ulioupigania wewe upewe madaraka.

Mtu muungwana kama hakubaliani ma maamuzi ya upande aliopo ukaa pembeni na si kuamia upande wa mashetani.

Si rahisi kwa wapigania haki kuja kukusamehe kwa usaliti huu kirahisi kwa ubinafsi wa shoga yako Dr Slaa.

Angalia credibility yako ilivyokufa unaanzisha useful thread lakini unaishia kupuuzwa tu, Mwanakijiji ninayemjuwa mimi enzi alizokuwa amejijengea heshima hii thread mpaka dakika hii ingekuwa inakimbiza page ya 100.

Kama wamepuuzwa Dr Slaa na Lipumba ndio sembuse wewe Anonymous? Jitafakari, jirekebishe na naamini umejifunza.
 
Haya Harakati njema....Kufanya harakati na Mwanakijiji anayeunga mkono Sera za Giningi ni wendawazimu

NB; [HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Max Melo#
Kamanda huyu mzee ana nichanganya ujue ! laa nchi hii tupo mbali sana ! FREE MELO!
 
ahsante sana MATOLA ,YAANI KWA NGUVU ALIYOTUMIA HUYU BABU KUTUSAJILIA KIPA WA ZAMANI YA YANGA,AFU LEO ANALIA INAUMA SANA ! HAYA YOTE WENGINE TULIYAONA ...TUJALIPUA NA MATOKEO YAKE NDIYO HAYA!
 
Narudia tena, sauti ya Jf yamwakilisha Mnyonge mnayetaka kumnyonga na kumdhulumu, iweje muwe na woga kwa mtu Mnyonge? Jee nyie si wale wa Miraba minne wenye nguvu na dola? Sasa kwa nini mnababaika? Au mnaanza kugundua kuwa umoja wa Wanyonge ni mkubwa na una nguvu kubwa
 

I wish wote tungeliangalia hili kama letu,lakini wenzetu wanaliangalia hili kama sisi ni wahaini.Wanataka hata tukiwa tunajisaidia barabarani tupigiwe makofi.
 


Na wewe umeamini, kuwa tumedhani na kuamini issue ya Max pekee ndio inaweza kuua utalii?!, hii issue ya Max inaweza kuwa ni mwanzo wa mengi kama haya yatakayotokea. Sheria si imepitishwa juzi tu, kumbuka pia tuna uongozi mpya, uliopatika majuzi tu. This's just the beginning.

Mfano wa Waganda, hawakubanwa na donors mpaka wakalegeza sheria za mashoga? and they had to "annul" the law na donors hawakurudisha misaada full nondo?
Kenya utalii hata uli boom baada ya support waliyopata. Support against..ugaidi wa kutoka Nje ya Nchi. Too bad sisi tunakandamizwa na kutishwa kutokea ndani ya nchi.
 
Reactions: BAK
that makes the two of us...

hard for me to trust this guy any longer!

but let's put that one on the waiting list and deal perpendicularly with the Max situation. our togetherness is crucial now than ever!
Straight up compañero,may be this saga will be a turn around and someone will wake up from his deep sleep and see what we really meant when we rubbed the naked truth in his face
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…