Je, soko la HISA ni utapeli?

Hisa Moja ya apple ni $200 ambayo ni karib laki sita Sasa utanunua hisa ngapi ili u make profit
 
Umesoma financial statement zao au Umesikia fatilia data zao tz hakuna kwel mfumo mzur pia wa kufatiliaa real time price na dse regulation pia inahitaj itumbuliwe inaongozwa keinyeji.. every QT tunahitaji report za makampun kama mbele itaongeza Uaminifu kwa new investor. Hakuna transparency aiseh..
 
Hisa Moja ya apple ni $200 ambayo ni karib laki sita Sasa utanunua hisa ngapi ili u make profit
Watu wananua mpaka fraction ya hisa wewe unaongelea the whole share kama kikwazo, mazee kuna alinunua BTC kwa $30 kipindi kile price yake imedrop mpaka $87k

Pia nina mfahamu mtu aliinvest $70 kwenye TSL miezi ya hivi karibun baada ya kushuka mpaka $190.
 
Reactions: apk
Aina ya wawekezaji nayo inaathiri bei za hisa. asilimia kubwa ya wawekezaji sio wale wa kuuza na kununua. wengi ni wale wa kuhold kwa ajili ya baadaye. Hii inafanya bei ya hisa kuwa stable hata kwa dhoruba zinazotokea. Kwa kifupi wanunuaji wengi wa hisa hatuna elimu kamili ya hisa.

Masoko ya nje yapo busy. Ila ukiangalia masoko yetu karibu kila siku demand ni kubwa kuliko supply hii ina maana watu hawataki kuuza hisa zao. Kuna kipindi hisa za CRDB zilifika 1600 ila watu wakagoma kuuza na sasa ni 1160 unashangaa are we insane? Umenunu hisa kwa 500 inafika 1600 bado umehold? why not selling it and repurchase when the price drop again even for 50 Tshs....
 
Umenena vyema kabisa, ila bado haya maelezo yako hapa yana mkanganyiko kidogo kiasi cha kuacha maswali..

Ndio ni kweli kwa mujibu wa financial markets principles wauzaji wakiwa wachache kuliko wanunuzi price inapanda, lakini pia kumbuka soko la hisa ali operate kwa kufuata demand and supply zinasema nini....

...how the whole market operate involves a lot of factors at interplay like business perfomance,economic state at macro levels,company image au outlook etc..!!

...Hivyo mpaka tunaona share price kwenye chart ni balance ya combinations ya hizo factors.

Sasa kampuni haiwezi kuwa na perfomance mbaya kwa zaidi ya miezi miwili kiasi cha kufanya mpaka baadhi ya investors kukimbia halafu share value isishuke, eti kisa tu watu wengi hawako tayari kuuza hisa zao.

Walichopitia bank ya CRDB miezi miwili iliyopita kilitengeneza negative outlook to the company na kusababisha negative market sentiment to the public..

..na kawaida kampuni ikiwa na negative market sentiment huwa inapelekea watu wasite kujuhisisha nayo kwa namna yoyote ile, hivyo nyie investors ambao mnamiliki hisa zenu hapo mnaweza mkawa hamtaki kuuza lakin pia vile vile watu walioko huku nje hawataki kuzinunua, maana wana wasi wasi.

Na ndio maana mimi narudi pale pale kuna mchezo wa kihuni ulifanyika hili kulinda hizo share za crdb....

...Kwanza nilivyoona tu governor wa BOT eti anampongeza GD wa crdb sijui kwa kazi nzuri aliyoifanya, nikajua tu hakuna kitu hapa, hawa wapuuzi wanapongezana baada zoezi lao la kihuni kufanikiwa.
 
Sasa mkuu kama investor wenyewe ndio hao hawatikiswi na habari yoyote kufanya wauze kwa bei yoyote unategemea nini? Soko la hisa kwa bongo lipo tofauti sana. Yani watu wanafanya hisa kama UTT for saving zaidi.....

Kama uamini angalia trend ya market kuanzia january mpaka sasa. Utashangaa....
Angalia ukuaji wa hisa hapo halafu uliza wanaoperate kwa principle gani hapo...
 

Attachments

  • Screenshot_20251024_121351.jpg
    121.1 KB · Views: 32
Hela yako kanywee Bia
 
Ingekuwa huko mbelez shares za crdb zingekuwa TZS 20 per share hadi leo...ila bongo sasa!!
View attachment 3470320View attachment 3470321
Investment kwenye hisa sio kazi ya hisia tu , sasa mtu ametoka kukupa dividend ya Tsh 65 kwa hisa moja , alafu wewe unadai bei ya hisa moja ingekuwa TSh 20, yani ununue hisa bei hiyo ulipwe gawio mara tatu yake , sababu financial statement zimeknyesha kuimprove kila sehemu ukilinganisha na mwaka jana
 
Hapo price ilibadilika kutokana na kubadilika kwa kanuni za DSE ndio maana hisa nyingi zilipanda sana au kushuka .Zilikuwa issue tatu moja wapo ni jinsi ya calculation za beinya hisa
 
Kwa hiyo hisa mnauziana kama madalali wa Karume? Kwamba leo wanunuzi wengi mi ntauza 450 mwingine anasema mimi ntauza 455? Au bei ni kwa wote sawasawa?
 
Hapo price ilibadilika kutokana na kubadilika kwa kanuni za DSE ndio maana hisa nyingi zilipanda sana au kushuka .Zilikuwa issue tatu moja wapo ni jinsi ya calculation za beinya hisa
Wana calculate vipi
 
Eleza zaidi
A new definition of closing price has been adopted, calculated as the volume-weighted average price (VWAP) of trades executed during the trading session, provided a minimum of 100 shares is traded per transaction. This replaces the previous rule that relied on a percentage of issued shares and aims to resolve the issue of price stagnation. • Rule 281 has been amended to reinforce that only trades with a minimum of 100 shares will influence the closing price. Smaller trades will not affect end-of-day valuations.

Read more at: Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Amends Trading Rules to Enhance Market Liquidity and Transparency and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…