Je, soko la HISA ni utapeli?

Kilio ni kingi sana na huenda CRDB ilidukuliwa ndo chanzo cha kuzima system kwa siku 3 kufanya mitigation. Vilio vitaongezeka sana
 
Ona huyu, eti hizi issues ndogo hazina impact!!!
 
Hizo 250 Million zimeepotelea wapi kwenye akaunti?
 
Na yeye ilikuaje akawawekea 250 Million kwenye akaunti yao au ilikua akaunti yake?
Akaunti ya mtu pesa zake zimepotea haieleweki ziko wapi. CRDB wanashindwa kuelezea pesa ziko wapi.
 
Hii bongo yetu chochote kinawezekana hata wanasiasa kupiga mkwala wasimamizi wa soko la hisa wasitangaze hasara ni kitu kinachowezekana
 
Hatuwezi kuelewana. Maongezi haya hayawezi kuwa na tija kwa sababu kwanza hata hatuongelei benki moja.

Wewe unaongelea CCMRDB mimi naongelea CRDB.
CCMRDB umefungua akaunti huko kisha wakazuia 250 Million zilizopo kwenye akaunti ya baank yao (akaunti yao sio yako) usisahau hilo
 
CCMRDB umefungua akaunti huko kisha wakazuia 250 Million zilizopo kwenye akaunti ya baank yao (akaunti yao sio yako) usisahau hilo
Mimi sina akaunti Tanzania wala kwenye hiyo benki, sasa unasemaje akaunti yangu?

Are you sane?
 
Mimi sina akaunti Tanzania wala kwenye hiyo benki, sasa unasemaje akaunti yangu?

Are you sane?
Akaunti ya bank ya CCMRDB sio akaunti yako ni akaunti ya bank wanakuhifadhia tu ila sio mali yako kwa hio wanaweza kuzuia hela zilizopo kwenye akaunti yao wakipewa maelekezo hayo kwa hio ndio maana unaona inasoma 0.00 sababu sio akaunti yako ni akaunti yao
 
Mimi siongelei CCMRDB naongelea CRDB.
 
Mimi siongelei CCMRDB naongelea CRDB.
Ndio nimeelewa mkuu hio hio CCMRDB ndio nimesema akaunti ya bank sio yako ni ya bank kwa hio siku nyingine usije ukafungua akaunti bank ukaanza kujisifu nina akaunti yangu bank sio akaunti yako ni akaunti ya bank
 
Charles Kimei katoka openly kasema anamuogopa sana rais Magufuli, that alone was a red flag for a sane investor, hawakuona hilo kama tatizo?
It was a red flag, ila ni wakati wa Magu pia Kimei alipewa ubunge na Magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…