Je siku ukimkuta mtu chumbani kwako kalala na mpenzi wako utachukua hatua gani...?

Huwezi kutabiria, kwani hasira ni ya pale pale. Ndiyo maana unasikia wengine wameua bila ya kukusudia.

Mzee usiombe wengine unaweza hata kuzimia kabisa.

ninakubaliana na wewe kwa asilimia zote mana huwez kutabil HASIRA utakayo kuwa nayo wakat huo ni kwel
 
Hahahaha unamuachia signature ambayo kila akiangalia anakumbuka siku ya tukio lol

kabisa yaani

  • ile ya kusema subiri mpaka huo muda ufike ndo ntafahamunini cha kufanya mmmhhh sikubaliani nayo
  • na hiyo ya ntawaacha wamalize hafu ndo niongee na partner wangu mmhh sikubali
  • na hiyo naondoka sitaki ugomvi.taaahhhhh
kwa wivu wa mapenzi hakuna cha subiri....
 
Mimi nita apply kitu cha kimasai-nitafunga milango alafu napandisha moriiiii...navunja kila ki2 ili asinichukulie poa next time. Au pili kitu cha 20% nawapisha huku nikiepusha msongamano
 
sijui kwasababu nakuona kama mkali mkali vile

mi mkali kama simba. Hahahaha!
Nakutania mwaya, mi mpole sana. Ninapokuwa na hasira to the maximum huwa nashindwa kufanya chochote yaani upole ndio unazidi.
Najua tukio hilo litanipandisha hasira.
 
nawatengenezea supu ya kongoro ili wakimaliza warudishe nguvu!
images.jpg
.
 
Back
Top Bottom