Je sifa hii inaruhusu mtu kuwa mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je sifa hii inaruhusu mtu kuwa mwalimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by PYU, Oct 14, 2012.

 1. P

  PYU JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Napenda sana kufundisha.nina degree yangu ya theology in mission from
  Covenant University ya Florida USA,je naweza kuomba kazi serikalini? na kama ndiyo nifanyeje? kwa sasa niko arusha.asanteni
   
 2. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Uajiriwe Serikalini kwa Shahada ya Theology? Je ukafundishe (ma)somo gani? Ng'ang'ania huko mission, kwa bahati mbya hata huko Seminary wana vyuo vyao vya Waalimu wanavyoviamini.
   
 3. Loraa sum's

  Loraa sum's JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 60
  Aah,me naona ujiajiri2 au ukafundshe hukohuko marekani
   
 4. SENGANITU

  SENGANITU Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mtu safi sana kwa ustaarabu. swali lako ni zuri na liko wazi. maana ya ualimu inaletwa na masomo ya ualimu kama vile psychology of education,philosophy of education,educational measurement,sociology of education and many others.kama ulisoma hayo masomo wewe ni mwalimu bila ya kujali academic subjects ulizosoma.ushauri wangu ni kwamba ongeza degree ya pili ili uombe kufundisha vyuo vikuu vya dini na vya serikali vya ndani na nje ya nchi.mfano the open university of tanzania wana masomo ya dini(ni taasisi ya serikali).
   
 5. P

  PYU JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante,ila ndani ya theology kuna masomo ya education,sociology,nadhani pia naweza fanya postgraduate,naupokea ushauri wako
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  covenant univ?. TCU wanaifahamu hiyo university?
   
Loading...