bulicheka 3
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 599
- 556
Roho ya ubinafsi ya umimi Mungu hadhihakiwiAnataka kumuingiza kingi mzee wa watu kisa eti bomba litaitwa Kaguta "paipuraini"...Duh mambo ya Mangungo hayo.
Roho ya ubinafsi ya umimi Mungu hadhihakiwiAnataka kumuingiza kingi mzee wa watu kisa eti bomba litaitwa Kaguta "paipuraini"...Duh mambo ya Mangungo hayo.
Mliwapa halafu mizigo ya isafiri vipi toka Tanga kwenda Uganda? Ni lazima kwanza kuwe na njia ya Arusha Musoma Reli au BarabaraUganda na M7 ni matepali flani wa kidizaini hivi maana hata Tanga walipewa eneo la kujenga dry port mpk leo hamna kitu wamefanya pale.
So Kenyatta ajiandae kudanganywa tu hapo.
Nani kajitoa. Halafu kwa bahati mbaya huufahamu huu mradi. Hujui Total, Cnooc na Tullow wana majukumu gani kwenye huo mradi.Wawekezaji wamejitoa. Au jiwe anajenga kwa fedha za ndani?
Wawekezaji wamejitoa. Au jiwe anajenga kwa fedha za ndani?
Hakuna mfanyabiashara atatumia $3.55 billion duniani kwenye investment kwa sababu ya kumfurahisha mwanasiasa.
Museveni na serikari ya Uganda ni facilitators tu kwenye political side na nchi jirani baada ya maamuzi ya mwekezaji.
Serikari ya Uganda kama kushawishi wawekezaji bomba lipite wapi basi influence yao ndogo sana, 90% or more ya uwekezaji wa hela nyingi kama hizo unazingatia faida za kibiashara na risk assessment.
Bomba alijaamuliwa kupita Tanzania kwa sababu ya fadhila za Uganda au mradi aujasimama kwa sababu ya intervention za Kenya kila kitu ni kwa sababu za kibiashara tu for the most part.
Wako bize na kuua upinzani na kuwashughulikia wanao mkashifu rais mitandaoni, kosa tulilolifanya ni kuufanya usalama wa taifa kuwa tawi LA CCMTuna watu wanakaa tu ubalozini wakila bata!! Hakuna intelligence wanafanya - haya maamuzi ya kusitisha ujenzi wa bomba hayakufanywa katika siku 7 tu - ni mchakato. Sote tunaonekana kushtushwa na taarifa wakati kumekucha na sisi ni washirika wa mradi.
Halafu tunasimama jukwaani na kutangaza sijui vita vya kiuchumi, sijui uchumi wa kidiplomasi. My foot!!
Going by tax rates, utitiri wa kodi ambao sasa wanajaribu kushughulikia, uporaji wa mali za watu bandarini unaofanywa na TRA ni ishara tosha Serikari ya Tanzania inajua kukusanya tu na kutumia aijui kutafuta.Usikute hata sisi kama nchi tunachangia lakini hatujui kwa sababu tunadhani hili ni jambo la kisiasa. Unpredictability yetu katika regulations, policies etc inatung'ata sehemu tusiyojua. Leo weka hiki, kesho kile na katika muda mfupi huku tukijiweka katika position ya kuwa tunanyonywa na kuibiwa. Tunaonywa kuhusu ukopaji na WB, hii ni ishara mbaya kwa kuwa fiscal policies zetu zinakuwa scrutinized na wawewekezaji na kuleta woga (negative speculations) kuhusu viability na hata sustainability ya miradi yako. Wanaofahamu stocks/bonds trading wanajua hili!! We are simply unpredictable na unaweza kuona reaction kubwa iko kwetu japo mafuta sio yetu!!
Kamishna wa URA ana kadi ya chadema
Jamaa yetu alisukumizwa tu kwenye ile nafasi ndio maana hana mipango mkakati inayoweza kuwashawishi wenzake.Sisi tunamtaka M7 amtumbue kamishna wa URA au amlete bongo tumshughulikie
Ndio maana tumekuwa tukitoa ushauri hapa Mara KWA Mara kuwa, TISS ibadilike kutoka Idara ya Ujasusi wa Kisiasa , wa kuwinda wakosoaji wa Rais na Serikali yake iwe taasisi imara kabisa ya kufanya Ujasusi wa Kiuchumi (Economic Espionage), ili kulinda na kuendelea maslahi mapana ya umma wa RAIA wa Tz na Tz yenyewe KWA ujumla.Wako bize na kuua upinzani na kuwashughulikia wanao mkashifu rais mitandaoni, kosa tulilolifanya ni kuufanya usalama wa taifa kuwa tawi LA CCM