Je, Serikali ya Uganda ndio imebadili msimamo wa bomba la mafuta ?

Uganda na M7 ni matepali flani wa kidizaini hivi maana hata Tanga walipewa eneo la kujenga dry port mpk leo hamna kitu wamefanya pale.

So Kenyatta ajiandae kudanganywa tu hapo.
Mliwapa halafu mizigo ya isafiri vipi toka Tanga kwenda Uganda? Ni lazima kwanza kuwe na njia ya Arusha Musoma Reli au Barabara
 
Hakuna mfanyabiashara atatumia $3.55 billion duniani kwenye investment kwa sababu ya kumfurahisha mwanasiasa.

Museveni na serikari ya Uganda ni facilitators tu kwenye political side na nchi jirani baada ya maamuzi ya mwekezaji.

Serikari ya Uganda kama kushawishi wawekezaji bomba lipite wapi basi influence yao ndogo sana, 90% or more ya uwekezaji wa hela nyingi kama hizo unazingatia faida za kibiashara na risk assessment.

Bomba alijaamuliwa kupita Tanzania kwa sababu ya fadhila za Uganda au mradi aujasimama kwa sababu ya intervention za Kenya kila kitu ni kwa sababu za kibiashara tu for the most part.
 
Tuna watu wanakaa tu ubalozini wakila bata!! Hakuna intelligence wanafanya - haya maamuzi ya kusitisha ujenzi wa bomba hayakufanywa katika siku 7 tu - ni mchakato. Sote tunaonekana kushtushwa na taarifa wakati kumekucha na sisi ni washirika wa mradi.

Halafu tunasimama jukwaani na kutangaza sijui vita vya kiuchumi, sijui uchumi wa kidiplomasi. My foot!!
 
Usikute hata sisi kama nchi tunachangia lakini hatujui kwa sababu tunadhani hili ni jambo la kisiasa. Unpredictability yetu katika regulations, policies etc inatung'ata sehemu tusiyojua. Leo weka hiki, kesho kile na katika muda mfupi huku tukijiweka katika position ya kuwa tunanyonywa na kuibiwa. Tunaonywa kuhusu ukopaji na WB, hii ni ishara mbaya kwa kuwa fiscal policies zetu zinakuwa scrutinized na wawewekezaji na kuleta woga (negative speculations) kuhusu viability na hata sustainability ya miradi yako. Wanaofahamu stocks/bonds trading wanajua hili!! We are simply unpredictable na unaweza kuona reaction kubwa iko kwetu japo mafuta sio yetu!!
 
Wako bize na kuua upinzani na kuwashughulikia wanao mkashifu rais mitandaoni, kosa tulilolifanya ni kuufanya usalama wa taifa kuwa tawi LA CCM
 
Going by tax rates, utitiri wa kodi ambao sasa wanajaribu kushughulikia, uporaji wa mali za watu bandarini unaofanywa na TRA ni ishara tosha Serikari ya Tanzania inajua kukusanya tu na kutumia aijui kutafuta.

Hilo Sakata la investment Uganda sio geni kabisa hayo makubaliano yakuuziana hisa yalikuwa since 2017 or earlier nakulikuwa na stalemate ndio maana wakawekeana deadlines na extension kutafuta suluhisho.

Kwa sababu sisi sio watu wakutafuta atukuona tunaweza okoa vipi mradi uanze ndio kawaida ya akili za watu wenye mawazo ya chuma ulete.
 
Kwa jinsi bandari yetu inavyoendeshwa,
kwa Jinsi Tasac, ambaye ni msimamizi mkuu wa masuala ya bandari anavyoweka gharama kubwa za kutoa mzigo hapa bandarini, na zaidi anapotaka kuondoa soko la usishindani kuwa yeye Tasac awe mamlaka ya uthibiti, na wakati huo huo anataka yeye awe ndiye wakala wa meli pekee, yaani, watu wanaoagiza mizigo wanakuwa hawana uchaguzi nani awe agent wao Tanzania maana Tasac anataka awe agent peke yake,,,,

Kwa mazingira kama hayo, hakuna mfanyabiashara wa mizigo ya transit anayemaanisha kufanya biashara akaendelea kuchagua Dar es Salaam kama first port yake.

Mahali pote duniani, sekta binafsi zinapewq kipaumbele ili watu wawe na uchaguzi wamtumie nani kuwafanyia kazi zao, ni Tanzania pekee ndio tunarudi enzi za mkoloni kuwa na ushirika moja tu la kusimamia meli zote zinazokuja nchini.

Tunafanya mengi mazuri, lakini, Kenya wapo mbele yetu tukubali au tukatae, hasa kwenye masuala ya bandari, wanajitahidi sana kuondoa ukiritimba ili wapate mizigo mingi ya transit.

Hata wabunge wetu misuwada wanayopitisha, wanabidi wawe makini sana kuona kama kwa mapana ya ushindani, miswada hiyo ina manufaa au ndio tunawapa bandari ya Kenya urahisi? Kumbuka Kenya wana bandari kubwa zaidi, na meli kule zikifika hazisubiri mda mrefu, tofauti na huku kwetu, meli inaweza ikasubiri hadi mwezi mzima haijashusha mzigo.
 
Wako bize na kuua upinzani na kuwashughulikia wanao mkashifu rais mitandaoni, kosa tulilolifanya ni kuufanya usalama wa taifa kuwa tawi LA CCM
Ndio maana tumekuwa tukitoa ushauri hapa Mara KWA Mara kuwa, TISS ibadilike kutoka Idara ya Ujasusi wa Kisiasa , wa kuwinda wakosoaji wa Rais na Serikali yake iwe taasisi imara kabisa ya kufanya Ujasusi wa Kiuchumi (Economic Espionage), ili kulinda na kuendelea maslahi mapana ya umma wa RAIA wa Tz na Tz yenyewe KWA ujumla.
 
Kenya watakapotandika bomba la mafuta kutoka Turkana hadi ktk bandari ya Lamu nafikiri ndipo Uganda wameona nafuu waje waungie ya kwao hapo kwani watakuwa wameokoa gharama kwa kiasi kikubwa sana badala ya Tanga ambayo geographically ni mbali mno.

Hata Sudan Kusini nao nafikiri wataungia kwenye hilo la Kenya. Vile vile inaonekana Magufuli ni mtu very erratic and unpredictable kuweza kuaminiwa na viongozi wenzake.
 
Kama ni kweli, basi hivi sasa nitaacha kuzungumzia uhalisia na itabidi niwe najitoa tu ufahamu!!! Yaani JF hiii hii miaka 2 iliyopita nilisema watu waache kuwa so excited kwa sababu Kenyatta hataweka kalamu chini hadi ahakikishe bomba limeshatandikwa kutoka Uganda kwenda Tanga!!!

Wabongo tukabaki kushangilia kwa nderemo na vigeregere tukadhani tumeshamaliza kazi wakati kila atakae kufahamu alifahamu kwamba ule mradi ulienda Tanzania by chance, na wala sio kwamba tuli-fight kuupata!!!

Na kwavile ulikuja by chance, watu waka-relax na kuanza kupiga mabilioni tutakayoingiza, wakati ambapo kipindi kile kile Kenyatta akapanda ndege kwenda France kwenda kuongea na mwenye mbwa!!!
 
Back
Top Bottom