Je, Serikali ipitishe sheria itakayotoa Uhuru wa Kujitoa uhai?

I second you ,kama mnaamini democracy kwa nn hamtaki mtu kujiua? Kila mtu yupo free labda kama anafuata dini au mila fulani maana haziruhusu..

Dunia ina mengi sana sometime mambo yanagoma kabisa....
Ukijiua utaondoka na Wategemezi wako ? Utatulipia wadau Pesa za Nauli ya kwenda kukuzika na Pole za kuwapa jamaa zako wa Karibu ?

Kumbuka Demokrasia yako isiwe kuro kwa mwingine ndio maana nikasema kama umemaliza / hauna majukumu jipeleke tu pale utakapozikwa, chimba kabisa kaburi na acha gharama ya funeral services..., binafsi naweza kusema hapo utakuwa umetendea Haki, HAKI yako....
 
Kila mtu ataondoka kivyake
 
Kila mtu ataondoka kivyake
Naam ila ni busara kuhakikisha kuondoka kwako kusiwe na hasara kwa wengine..., Wewe baba una watoto kumi inatakiwa waende shule unaona mambo yamekuwa magumu unaamua kuchukua easy way out...., Sasa mdogo wako, kaka yako unaowaachia huo mzigo kweli umewatedea Haki ?
 
Tunapoelekea huko utasema hata mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile ni haki yake!

Haki zina mipaka braza, hilo hata hao watetezi wa haki za binafamu wanalijua. Kila kitu kina kiasi..kikipitiliza kunakuwa ni tatizo. Ikumbukwe kwenye haki pia kuna utamaduni,Mila,desturi na madili ya jamii. Ndio maana hakuna makubaliano zaidi ya Kidunia kuhusu uhalali wa maazimio ya haki za binadamu ukiondoa yale yaliyopitishwa na waasisi/wanachama wachache wa nchi za Magharibi mwaka 1948.

Miaka 10 nyuma nilikua nawaza Kama wewe.

It’s a New World, New People and all New Ideas.

Hatari sana.
 
I second you ,kama mnaamini democracy kwa nn hamtaki mtu kujiua? Kila mtu yupo free labda kama anafuata dini au mila fulani maana haziruhusu..

Dunia ina mengi sana sometime mambo yanagoma kabisa....

Dunia haina mambo mengi, binaadam waliopo hapa duniani ndio wenye mambo mengi.

Kwa sasa binaadam wameamua kujaribu kina kwa miguu na mikono.

Mtu hujajiumba wewe wala huna kumbukumbu ya kutuma maombi ya kutaka kuumbwa, kwanini ujiue Kisa umeamua kufanya hivyo ama ni nafuu kwako?

Mgonjwa anadai haki ya kuchomwa sindano ya sumu Kisa hana hakika ya kupona! Vipi kuhusu Imani? Vipi kuhusu matumaini? Vipi kuhusu uhalisia?

Ni sahihi kweli kuomba njia ya mkato katika kuyaishi maisha? Je huu sio ubinafsi?

Lakini pia mwili wa binaadam kuendeshwa na machine za kupumulia (brain dead?) ni sahihi? Kama mtu hapumui mwenyewe maana yake amekufa sio? Sasa kupumua kwa msaada wa machine si kulazimisha uhai?

Kuna tofauti ya brain dead na comatose?
 
Hiyo mipaka inazuia watu kujiua ?mbona watu wanajiua kila siku

Kwanini kusiwe na uhuru ili mtu afe kwa Amani
Mkuu, mbona unajisumbua hivyo? Kwani kuna maiti/mtu-mfu (mzoga) aliyewahi kushtakiwa? Kama mtu umeamua kwa hiari yako mwenyewe bila shuruti kujitoa uhai, na ufanye hivyo chap! ila sharti ni moja tuu - Yaani Uhakikishe utakufa kweli kabisa sio unajaribisha na hakuna cha kunusurika wala kupona. Ndo mana nasema hakuna maiti iliyowahi kushtakiwa. Ww hakikisha umejimaliza kabisa kabisa na ndo mwisho hakuna kesi hapo.
Unataka uruhusiwe ili iweje tena ilhali uamuzi unao mwenyewe mikononi mwako?
 
Dunia haina mambo mengi, binaadam waliopo hapa duniani ndio wenye mambo mengi.

Kwa sasa binaadam wameamua kujaribu kina kwa miguu na mikono.

Mtu hujajiumba wewe wala huna kumbukumbu ya kutuma maombi ya kutaka kuumbwa, kwanini ujiue Kisa umeamua kufanya hivyo ama ni nafuu kwako?

Mgonjwa anadai haki ya kuchomwa sindano ya sumu Kisa hana hakika ya kupona! Vipi kuhusu Imani? Vipi kuhusu matumaini? Vipi kuhusu uhalisia?

Ni sahihi kweli kuomba njia ya mkato katika kuyaishi maisha? Je huu sio ubinafsi?

Lakini pia mwili wa binaadam kuendeshwa na machine za kupumulia (brain dead?) ni sahihi? Kama mtu hapumui mwenyewe maana yake amekufa sio? Sasa kupumua kwa msaada wa machine si kulazimisha uhai?

Kuna tofauti ya brain dead na comatose?

My friend, tukiingia kwenye Metaphysics , hata uwepo wako duniani haukuzingatia your informed consent, no one was asked to be here , with regard to that , ndio maana wengine intentionally hujitoa uhai, watu kama hawa, if they were to be asked kuja duniani in advance, I bet wangekataa….. ni aina fulan ya udikteta ulitumika kuwaleta duniani….. anyways

Kuja kwenye ishu ya brain death , in a medical field , brain death is an official death to be declared legally and clinically.

Mtu akifa brain stem cells zile tano, and it has been proven to be irreversible….. that is an individual death hata kama for some times heart and other organs zikiwa still zinafanya kazi, huyu mtu ni ameshakufa…….

Because within 6 hours or so kila kitu will shut down . Ndio maana cha kwanza to determine death of a person ni brain death….. there kisheria hiyo mtu ni amekufa;

kama ni kuna mtu atawekewa mashine while brain death has confirmed, may be the plan ni kuchomoa organs zake Muhimu ili kutumika kusave Maisha ya watu wenye uhitaji under his own consent or living will or advance directive.

Aidha , ishu ya mgonjwa kuchomwa lethal injection ni haki yake kwa nchi zilizoendelea yaani passive euthanasia ; ikiwa mtu ana kansa ya ubongo inayomla same time ana AIDS na same time Ana FIGO , mtu kama huyu hatoboi na atatumia resources nyingi sna na yeye mwenyewe ataishi kwa mateso makubwa snaa, what do you think mtu kama huyu akiomba lethal injection, kuna shida gani? Natambua kwa sharia za TZ hii haipo, utasulubika hapo na mateso makubwa hadi ukate roho hata kama you will stay kwa mateso hayo or in coma for 10 years , ndugu watachanga hadi wawe masikini..:::: je kwenye hali hiyo , kuna tatizo serikali ikapitia sharia ya uhai na mtu mwenyewe kwa ku determine hali yake awe huru kuridhia easy death kwa msaada wa Assisted Suicidal ? Shida ipo wapi ?

Unazungumzia mambo ya Imani, Iman ndio zinaongoza kwa bloodshed than anything else in the world

Judaism has caused thousands of bloodshed on earths , Christianity did the same , Islam also caused thousands bloodshed , na hivi vita vote vimekuwa justified in Torah , Bible and Quran , kuna anae bisha ? Taja dini kati ya hizo ambayo hazijaua watu !!

Only Buddhism has spreas peace on earth, no bloodshed, no hate no discrimination to all mankind

Other faiths including Judaism , Christianisme and Islam spread hate and superiority as well as bloodshed, kuna anaebisha ?

Je is killing kwa iman an ethical issues ?
Where is your ethical dilemma kwenye hilo ?

What is difference btn killing kwa imani and euthanasia ?

How many people burned alive kupitia hizi Imani ?

Stop mambo ya Imani , however tuna respect faith consideration kwenye euthanasia kulingana na mtu
 
Mkuu, mbona unajisumbua hivyo? Kwani kuna maiti/mtu-mfu (mzoga) aliyewahi kushtakiwa? Kama mtu umeamua kwa hiari yako mwenyewe bila shuruti kujitoa uhai, na ufanye hivyo chap! ila sharti ni moja tuu - Yaani Uhakikishe utakufa kweli kabisa sio unajaribisha na hakuna cha kunusurika wala kupona. Ndo mana nasema hakuna maiti iliyowahi kushtakiwa. Ww hakikisha umejimaliza kabisa kabisa na ndo mwisho hakuna kesi hapo.
Unataka uruhusiwe ili iweje tena ilhali uamuzi unao mwenyewe mikononi mwako?

Unajua kusoma kwa ufahamu with the intent to understand not to reply ?
 
Miaka 10 nyuma nilikua nawaza Kama wewe.

It’s a New World, New People and all New Ideas.

Hatari sana.

New world order is a myth kama ile myth ya Jesus is coming , may be this year

You will wait till you die and your kids will wait and they will die

Your grandkids will wait till they die

You are waiting for something never to happen
 
Naam ila ni busara kuhakikisha kuondoka kwako kusiwe na hasara kwa wengine..., Wewe baba una watoto kumi inatakiwa waende shule unaona mambo yamekuwa magumu unaamua kuchukua easy way out...., Sasa mdogo wako, kaka yako unaowaachia huo mzigo kweli umewatedea Haki ?

Hasara gani
 
Tunapoelekea huko utasema hata mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile ni haki yake!

Haki zina mipaka braza, hilo hata hao watetezi wa haki za binafamu wanalijua. Kila kitu kina kiasi..kikipitiliza kunakuwa ni tatizo. Ikumbukwe kwenye haki pia kuna utamaduni,Mila,desturi na madili ya jamii. Ndio maana hakuna makubaliano zaidi ya Kidunia kuhusu uhalali wa maazimio ya haki za binadamu ukiondoa yale yaliyopitishwa na waasisi/wanachama wachache wa nchi za Magharibi mwaka 1948.
Sorry;
Umeeelewa alichokiandika?
1. Amekubali kuwa KATIBA HAITAKI
2. Ila ame "cite" the occured problem
3. Mwisho akauliza ""Je, Serikali ipitishe sheria itakayotoa Uhuru wa Kujitoa uhai?""

#YNWA
 
Due hili swali,

Be Like, kwani mipaka ya kukataza ushoga inazuia watu kuwa mahogany kwanini kusiwe na uhuru ili mtu awe shoes kwa amani.

Be Like, kwani hio mipaka ya mwizi kuiba inazuia well kuiba mbona watu bado wanaiba kwanini kusiwe na uhuru watu waited kwa uhuru.

Be Like, namaanisha naweza kuandika mifano kama hii million kumi 😂😂
Mifano yako sio halisi.
Kujiua ni self act, humuumizi mtu tofauti na mifano uliyotoa.

Kujiua ni Kama Mimi navyoamua kuuza mali zangu nikatumbue pesa zangu kivyangu.
Ila sio kuiba, nikiiba NAKUDHURU WEWE NILIYEKUIBIA.

RUDIA TENA MIFANO YAKO.

#YNWA
 
Back
Top Bottom