Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

Jarida la the African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake zilizopigwa chini na Magufuli kama mradi wa Bagamoyo.

Jarida lengine la the Africa Report liligusia habari hii na kujaribu kuchambua kama Rais Samia ni Rais au kivuli cha Rais mstaafu Kikwete. Jaridi hili limetumia vyanzo vyao vya siri ambao vimewaeleza kuwa Kikwete amekua na ushawishi kwa Samia hususani kwenye maswala ya jumuiya ya kimataifa na covid-19.

The Economist Intelligence Unit pia hivi karibuni liliripoti kuwa kuna watu ndani ya CCM, na baadhi ya vyombo vya usalama ndivyo vinaongoza nchi na Samia ni kama Rais mbele za watu, ila hana nguvu ya kufanya maamuzi yenye "substance".

Jana CNN walicover story ya Mbowe kupewa kesi ya Ugaidi. Mmoja wa wachambuzi (ambae alikuwa mmoja ya watu wa mwanzoni kabisa kutoa taarifa ya Magufuli kuumwa) alitabainisha mambo mawili.

1. Yaweza kuwa Samia ni kweli kabadilika na anataka kuonyesha nguvu yake kama Rais kwa kutumia mbinu za kidikteta za Magufuli.

2. Yawezekana watiifu wa serikali ya Magufuli wamegomea mabadiliko Samia anayotaka kufanya na wanapush back. Akasema Samia anaweza kuwa ameshindwa kucontrol serikali yake na viemelea vya serikali ya JPM kwenye usalama, chama na jeshi vinaendesha nchi.

Kuna baadhi ya viongozi kama Zitto Kabqe na Fatma Karume walishaanza kuona dalili za Rais kuendeshwa toka mwanzoni.

Soma hii habari

Hizi tuhuma zinafikirisha sana. Je nani anaendesha nchi? Tuna Rais kivuli? Kama ni kweli Samia anakubalije jina lake lichafuliwe? Kama ni kweli maamuzi hafanyi yy kwanini asiachie ngazi?

Tusubiri tuone tunaelekea wapi.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Huyu si Rais wala kiongozi wa nchi. Huyu ni kivuli tu lakini command ya uongozi wa nchi inafanywa na watu wengine kabisa...

Lakini tusishangae sana kwa haya kutokea. Kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa kwanza mwanamke na wa mwisho toka CCM kuongoza Tanzania...

Huyu ndiye alama ya mwisho ya utawala na siasa za CCM Tanzania...
 
Huyu bibi hafai arudi kwao Kibandamaiti.
 
Hii mtakoma tu! Hakuna rais anayeweza vumilia mtu kama Mbowe, anayejiita Mpinzani mkuu, lakini anashindwa kuchagua maneno ya kutumia majukwaani. Hii ni Afrika, hii ni TZ. Ukijifanya huogopi utaonyeshwa woga ulipo.

Watu walianza kumsifu Samia iwe kama rushwa kwake, ajikombe kwao. Sasa kibano kimekuja naona zinatungwa hadithi za kumtia woga.
 
Mkuu wa majeshi siku ile ya mazishi ya JPM akasema rais ataitwa amiri jeshi mkuu badala ya amirat, mama akawa anachekea chini kama vile amepigwa dongo lakini ile kauli ni ujumbe kwamba bado kivuli cha JPM bado hakikwepeki ikiwa jeshi lipo chini ya uongozi wa sasa.

Mama kuna watu ambao hawezi kukwepa ushawishi wao, JK, Mume wake na mkuu wa majeshi. Kwa hao watatu hapindui iwapo watampa ushauri wa kina.
 
Huyu si Rais wala kiongozi wa nchi. Huyu ni kivuli tu lakini command ya uongozi wa nchi inafanywa na watu wengine kabisa...

Lakini tusishangae sana kwa haya kutokea. Kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa kwanza mwanamke na wa mwisho toka CCM kuongoza Tanzania...

Huyu ndiye alama ya mwisho ya utawala na siasa za CCM Tanzania...
Kusema rais wa mwisho mwanamke naweza kukubaliana na wewe lakini sioni namna ambavyo CCM inaweza kushindwa kuendelea kuongoza kwa miaka mingi ijayo.

Siuoni uongozi mbadala kutoka kwa wanasiasa wa upinzani hata kama katiba itabadilishwa na siasa zitakuwa tofauti na hizi za sasa.
 
Hii mtakoma tu! Hakuna rais anayeweza vumilia mtu kama Mbowe, anayejiita Mpinzani mkuu, lakini anashindwa kuchagua maneno ya kutumia majukwaani. Hii ni Afrika, hii ni TZ. Ukijifanya huogopi utaonyeshwa woga ulupo.

Watu walianza kumsifu Samia iwe kama rushwa kwake, ajikombe kwao. Sasa kibano kimekuja naona zinatungwa hadithi za kumtia woga.
Mama ana maumbile ya kike lakini ndio kiongozi wa nchi kwa sasa. Kauli yake ni agizo kwa mamlaka husika.
 
Huyu si Rais wala kiongozi wa nchi. Huyu ni kivuli tu lakini command ya uongozi wa nchi inafanywa na watu wengine kabisa...

Lakini tusishangae sana kwa haya kutokea. Kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa kwanza mwanamke na wa mwisho toka CCM kuongoza Tanzania...

Huyu ndiye alama ya mwisho ya utawala na siasa za CCM Tanzania...
Aisee huu ujumbe wa Aya ya chini umekua ukiurudia mara nyingi.
Nakufuatila Sana,watu kama nyie sio wa kubeza hupenda umeona mbele.
Huu Ni utabiri rasmi.
 
Kusema rais wa mwisho mwanamke naweza kukubaliana na wewe lakini sioni namna ambavyo CCM inaweza kushindwa kuendelea kuongoza kwa miaka mingi ijayo.

Siuoni uongozi mbadala kutoka kwa wanasiasa wa upinzani hata kama katiba itabadilishwa na siasa zitakuwa tofauti na hizi za sasa.

Sina namna ya kukusaidia ili uone CCM itakapolazwa chini kuashiria mwisho wa utawala wa siasa za kiCCM...

Wewe uko Kundi la kuona kisha ndipo uamini. Sikulaumu. Subiri uone, kisha ndipo uamini....

Wenzako sisi tumeshaona kwa njia ya kuamini kwa kutazama hali halisi na mazingira yenye viashiria vyote vya kifo cha CCM...

Tutaonana huko mbeleni ukibaikiwa kufika...
 
Mkuu wa majeshi siku ile ya mazishi ya JPM akasema rais ataitwa amiri jeshi mkuu badala ya amirat, mama akawa anachekea chini kama vile amepigwa dongo lakini ile kauli ni ujumbe kwamba bado kivuli cha JPM bado hakikwepeki ikiwa jeshi lipo chini ya uongozi wa sasa.

Mama kuna watu ambao hawezi kukwepa ushawishi wao, JK, Mume wake na mkuu wa majeshi. Kwa hao watatu hapindui iwapo watampa ushauri wa kina.
Hujui lolote ndugu.
Ningekuambia mengi lakini siwezi kumwaga mtama.

Magufuli kafa na kila kitu chake kimekufa.hana alicho acha,hakua na mtandao wala hicho unachoita kivuli.
Angekua Ana kivuli asingekufa kizembe vile.
Rais hafi vile bana.
 
Aisee huu ujumbe wa Aya ya chini umekua ukiurudia mara nyingi.
Nakufuatila Sana,watu kama nyie sio wa kubeza hupenda umeona mbele.
Huu Ni utabiri rasmi.

Hiyo ndiyo hali halisi...

Shetani kwa sasa ana hasira sana. Anajua mwisho wake u karibu, in fact umeshafika...

Hawezi kukubali kuondoka peke yake. Atahukumiwa sawiwa, lakini lazima aumize na kudhalilisha baadhi ya watu...

Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Yesu Kristo akiendesha harakati zake za kuukomboa ulimwengu toka mikononi mwa ibilisi...

Mawakala wa ibilisi/shetani walikuwa ni watawala wa kisiasa na serikali. Walielewa kabisa kuwa, huyu bwana (Yesu Kristo) alikuwa ankwenda kuwaangusha wao na utawala wao. Hawakukubali wafe peke yao. Walitaka wafe nae. Wakasuka mipango ya kumuua kwa kutunga makosa ya uongo yq ugaidi na uhaini. Wakafanikiwa. Wakamuhukumu kifo. Lakini hawakujua kuwa kwa njia ya kifo chake walichokitengeneza mwenyewe, ndiyo ukombozi na ushindi ungepatikana...

Ndivyo ilivyo leo

Kuwa, serikali hii iliyokuwa chini ya Mwendazake John P. Magufuli na sasa kampasia mpira huyu mwanamke na chama kinachoingoza (CCM) ni purely wakala (agent) na alama halisi ya shetani na kinajua kinakwenda kupotea...
 
Root legacy, Hao wakuu wa Majeshi wana kila kitu, Wameshamuweka Mama Samia kwenye yao hata kwa tishio la maisha yake, Wakuu hao wa Majeshi wana mlolongo mkubwa wa watu wengi wa usalama nyuma yao na inawezekana hata ulinzi wa Raisi wenyewe ndo wanahusika kwa kulindwa na watu wao
Ila Mabeyo si ndio alisaidia kumiweka hapo. Pia, unataka sema hao wakuu wa vyombo bya usalama ndio wanaendesha nchi? Hamna anaewaamuru nyuma yao? Kwanini Samia asiachie ngazi kama yamemshinda?

Back
Top Bottom