Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Anguko la humu jukwaani huko mtaani bado sana CCM ipo na simuoni mwanasiasa mwenye haiba nzito na ubunifu wa kuja na kipya huko upinzani.Siyo kweli kuwa umeyazoea...
Tuliwaambia hata wakati wa Mwendazake Magufuli. Tuluwaambia hatafika mbali huyu kwa tabia na mwenendo wake...
Yuko wapi?
Mwisho wa Magufuli ni indicator ya mwisho ya utawala na siasa za CCM Tanzania...
Samia Suluhu anakwenda kuhitumisha anguko hili. Kwanini huwezi kuona hili Bukililo?
Magufuli alikuwa binadamu na siku zote maisha haya yana mwisho kwa kila mtu. Alikuwa ni mtu wa miaka 61 hakuwa kijana wa miaka 25.