Je rukhsa kuoa mdogo wake marehemu mke wangu?

nilitaka maelezo kama hayo ingawa sikuwa na nia mbaya ila hata hivyo kupima ni kuzuri tujuwe status zetu sio kwa kuwa mkeo kafa wakati wa kujifungua ndio umrithi tu mdogo wake bila kupima

kuna mama mmoja mme wake alikufa kwa ajali ya gari halafu baada ya mwaka yule mama akafa kwa ngoma

nilitaka nijue kama alikuwa mkeo au mke wa jamaa yako ndio maana nikawa nakuchokoza

Pole sana kwa kufiwa na mke

Ewaaaaa! Naona hapa taratiiiiibu unaanza kurudi kundini.
 
mie naona haijakaa vyema,siwezi pinpoint kwa sababu gani.....
sidhanii kama nitarest in piiiis nikijua mie na mdogo wangu tumeshare uume mnh!...it just doesnt sound right!
 
Waungwana nisaidieni, kama mke wangu amefariki na kaniachia watoto wawili bado wadogo, mdogo wa mke wangu akaja kunisaidia kwa muds kuangalia watoto, ikatokea tukapendana na tunahaja ya kufunga ndoa, je imekaaje hii wa jameni?
1.Ndugu anabaki kuwa ndugu mpenzi wake awe hai au la.........haifai kuzini nae
2.Watu wote watadhani huyo shemejie ndie kamloga.
 
Jamani jamani jamani. Hebu tuache mambo ya masihara;

Mdogo wa mkeo ni mkeo...... Period!!
 
Yakobo/Israel alioa mtu na dada yake (Lea na Rahel) tena wakati hawajafa yani mtu na mke mwenza.Lakn kwa kesi yako mie sijui ,nachoweza kusema Mwombe Mungu akufunulie mapenzi yake ni nini na Amani ya Mungu iamue moyoni mwako.
 
Umenena vema mchumba. Nami nakuunga mkono mia kwa mia kama unavyoona hapo chini (Hivi yule mdogo wako aliyekuwa Tabora girls yuko wapi siku hizi? hebu nitumie namba zake tafadhali)

kaka pombe inakuharibu

Imeandikwa kwenye Biblia Takatifu:

Mpe Maskini Kileo, Anywe Asahau Shida Zake

Siwezi haribiwa na Neno la Mungu kiongozi. Najitahidi kusahau shida zangu.
 
Heheheheheheeee!no komenti.Naona leo kumekucha ndivyo sivyo.

Umenena vema mchumba. Nami nakuunga mkono mia kwa mia kama unavyoona hapo chini (Hivi yule mdogo wako aliyekuwa Tabora girls yuko wapi siku hizi? hebu nitumie namba zake tafadhali)
 
Waungwana nisaidieni, kama mke wangu amefariki na kaniachia watoto wawili bado wadogo, mdogo wa mke wangu akaja kunisaidia kwa muds kuangalia watoto, ikatokea tukapendana na tunahaja ya kufunga ndoa, je imekaaje hii wa jameni?
Well, it is an abomination!!!
Don't try....
 
Yakobo/Israel alioa mtu na dada yake (Lea na Rahel) tena wakati hawajafa yani mtu na mke mwenza.Lakn kwa kesi yako mie sijui ,nachoweza kusema Mwombe Mungu akufunulie mapenzi yake ni nini na Amani ya Mungu iamue moyoni mwako.
Ubarikiwe na bwana
 
Mimi sioni ubaya kwanini msioane. Nimekutana na nyingine inafanana kidogo na hii. Mke na mume wameoana wanaishi UK na wanaishi na mdogo wa kiume wa Mume. Mdogo wa mke ambaye pia ni mwanamke alienda kuwatembelea hivi karibuni na kufall in love na mdogo wa mume. Wakauliza ndugu zao kama wanaweza kuwaruhusu kuendelea na mapenzi wao hawakuona tatizo. Sasa penzi limekuwa moto moto vijana wanataka kuoana na ndugu wa pande zote mbili hawana matatizo with exception ya Mashangazi upande wa Mke. Na mke aliandika kwamba Baba yao alishafariki siku nyingi. Sasa sijui hii ya mtu na mdogo wake kuoa nyumba moja nayo imekaaje, lakini kwa maoni yangu sioni tatizo la kaka na mdogo wake wa Baba na Mama mmoja kuoa Dada na mdogo wake wa Baba na Mama mmoja.

Hii sio ngumu sana. Kuna baba zangu nao wameoa mtu na dada yake. Tatizo hii ya jamaa ni kama vile kurithi, watu wanaweza waza, walianza lini? Je binti alifurahi kuona dada yake amekufa so that she can take the place
 
Waungwana nisaidieni, kama mke wangu amefariki na kaniachia watoto wawili bado wadogo, mdogo wa mke wangu akaja kunisaidia kwa muds kuangalia watoto, ikatokea tukapendana na tunahaja ya kufunga ndoa, je imekaaje hii wa jameni?
KWA UPANDE WANGU INATEGEMEA NA MILA NA DESTURI ZA KABILA HUSIKA.... Kuna makabila, mke wa kwanza wanaowana hata mabinamu wakati kwa wengine hairuhusiwi...
 
Back
Top Bottom