Je, Rostam Aziz ataitikia wito wa kugombea Ubunge Morogoro Mjini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,028
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu Ubunge wa Jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.

Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?

Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.

Maendeleo hayana vyama!
 
RA ni moja ya watu ambao ni smart. Anaichukulia very serious Tanzania. Anajua ataendelea kuchumua as long as he keeps his profile low and with no squabbles with politicians or the existing political and leadership system.

Namkubali sana huyu mwanawane.
 
Abood wa Mabasi na Mbunge ni watu wawili tofauti. Kama hujui nakujuza leo.
We tend to underestimate the power of peole and time. Ipo siku viwanda vile vitakuwa shubiri kwa familia ya Abood kama hatafanya lolote mapema. JPM ana nguvu ya kumwambia sababu yeye sio Marehemu Lawrance Gama ambaye wakati ni RC alikuwa anaelewa nini Abood anafanya. For once lets think two steps ahead!
 
Acheni kulilishwa ujinga ile familiya ni habari nyingine huyo Juma anajikosha
 

Waache wafu wazikane ,hakuna jipya chupa itakuwa mpya mvinyo ule ule.
 
Africa hii kuna familia level nyingine? Familia gani? Wote wanaishi kwa neema za watawala. Siku watawala wakiamua, wote hawa tutawasahau. Unajisikiaje mtu akiua kiwanda halafu anaenda kukopa kwa biashara nyingine?
Juma ni mjinga we endelea kumuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…