Je, ripoti ya Mwakyembe kuhusu Richmond ilificha nini?

Dr. Uliyeiongoza tume ya bunge ya Richmond. Nikuulize; uliwahi dai bungeni kuwa kuna kipande cha taarifa ulikiacha kwa usalama wa nchi. Kwa maana nyingine hukututendea haki kwa kuiacha taarifa hiyo ambayo leo unataka kuitumia kwa maslahi yako. Iweke jf kisha ili tumjue nani mmiliki wa richmond. Ukishindwa wewe utakuwa mwongo na msaliti usiye na uzalendo. Ulitumwa kazi unaleta vipande kwa tamaa zako. Uadilifu wako u wapi sasa?
 
Hicho kipande cha taarifa mwakyembe alikiacha makusudi alijua lowasa atasumbua mbele ya safari sasa mwacheni lowasa anzishe mjadala leo jangwani muone kama hajaumbuliwa
 
ni ukweli uliowazi kwamba ripoti ile ilimficha mkuu wa msafara yaani mwenye Richmond
 
Atuambie tuu yale aliyoficha wakati anatoa ripoti bungeni kuhusu richmond.,na sababu ya kuyaficha licha ya kumtaka lowasa aamue cha kufanya.uadilifu wake upo wapi?sidhani kama mwakyembe ana uadilifu wowote.
 
Kikawaida kabisa, hii wala sio matumizi makubwa ya Akili, Lipoti ilimkwepa nani mkubwa zaidi ya Lowassa kipindi kile? Maana lowassa, Waziri wa Nishati wa kipindi kile, katibu Mkuu nishati na madini waaliachia ngazi na Serikali ikasonga, je Serikali ingedondoka kwa kutoka nani ambae aliachwa na mwakyembe?

????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Kikawaida kabisa, hii wala sio matumizi makubwa ya Akili, Lipoti ilimkwepa nani mkubwa zaidi ya Lowassa kipindi kile? Maana lowassa, Waziri wa Nishati wa kipindi kile, katibu Mkuu nishati na madini waaliachia ngazi na Serikali ikasonga, je Serikali ingedondoka kwa kutoka nani ambae aliachwa na mwakyembe?

????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????[/QUOTE
alikuwa zamani, sasa sio yeye, wametuharibia chama, .....pembeni....
 
Dr Mwakyembe tueleze ni mambo gani yalifichwa kwenye ripoti ya richmond ili serikali yote isianguke
 
Kama Mwakyembe akitoka sasa hivi na kueleza alichoficha kuikoa serikali itakuwa vema ukitilia maanani aliwindwa vibaya mpaka kupelekwa india na kuombewa na Gwajima lakini leo hii anajitoa ufahamu na kusema ni Lowasa wakati anajua kabisa kuwa aliyeruhusu ni Mukulu kweli siasa mchezo mchafu.Nashangaa hata mzee sitta alipoteza uspika kwa kuruhusu richmond isomwe,
Wenye macho na masikio na ufahamu hawawezi chagua chama tawala!!
 
Tunaomba msome hoja zote kuanzia page 1 then upate nguvu ya kuchangia ....ndio maana uchaguzi huu uliopita kuna wadau waliamua kupiga kimya maana taifa ni kama liliingia wazimu ....
 
Back
Top Bottom