Je raisi wetu anaweza haya?

Anaweza ila anaogopa ambao amewadhulumu au aliowadhulumu kwny mbio za kutafuta ikulu....kila wakati anahisi anawindwa!
 
Anaweza ila anaogopa ambao amewadhulumu au aliowadhulumu kwny mbio za kutafuta ikulu....kila wakati anahisi anawindwa!
Au kwa sababu ni spana mkononi?
 
Hawezi hata kidogo kwa sababu za kiusalama, lkn pia bado cc tuna ile hali ya kujiona "bwana mkubwa" pindi mtu anapokwaa madaraka makubwa au wadhifa fulani, mtu huyo hawezi hata fanya mambo madogo tu. Akiulizwa ooh mi mkubwa bwana. With time mambo haya yatakwisha na watu " hao watakao kwaa nyadhifa" wataishi kama kawaida na of course security itakuwa ime-advance.
 
Mkweree hawezi kufanya hivyo. Unataka suti yake aliyohongwa na waarabu ichafuke.
 
Uwezo anao, hajaona sababu ya kufanya hivyo.
 
Anaweza lakini labda kwa kuongea tu na si kwa vitendo,kwani nchi hii watu wengi wanatenda kwa maneno na si kwa vitendo.
 
Africa tuna dhana potofu,ukubwa ni kuoshwa viatu. Twapenda ukubwa sana na kuwaona wenzetu watumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…