cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,949
- 79,057
We kama ni ke kweli, basi kuna kigogo wa ccm anayekutafuna siyo bure
Mimi ni KE
Na siko huko CCM.
We kama ni ke kweli, basi kuna kigogo wa ccm anayekutafuna siyo bure
Madolezi na wewe ndio point zee zima unabemendwaUoga.com
Wa kujua upinzani kwishney wala hauna lolote maana wapo kama wapiga story chini ya mwembe.
Nchi inataka upinzani tofauti na uliopo.. usio wa wenye tamaa ya kujaza mifuko na matumbo yao tu.. bali ya kujali wananchi na sio kulialia huku hawana hoja hata ya sekunde..
Vimikutano vyao vyenyewe wanapoenda ni outing kwa wanaoenda kuwaangalia hizo sura zao za upinzani mchofu wenye viongozi wachovuuuuuuu.. hakuna kura hapo.. hivyo msilie
Kiongozi wa upinzani anamficha anayetakiwa kuhojiwa juu ya jambo walilomtendea anakwenda bungeni kuulizia hayo hayo.. eti mambo hayaendi.. kituko cha karne zote duniani
Magufuli ni kiboko yao ndio maana mnabwabwaja ovyo juu yake.. na bado juzi alisemaje???.. eeeeeeh
SureNoted....
Hata hivyo as far as watu wanachangia hoja, tafsiri yake ni kuwa topic imeeleweka...
Kama haupo ccm, basi itakua hujapata utakayemtunuku papuchi yako kwa muda mrefu.Mimi ni KE
Na siko huko CCM.
Wapi kuna nafuu kati ya wapumbavu uliowataja na vichaa ambao hukuwataja?CCM utapata viti vingi vya udiwani, hakuna mtu anahangaika na huu upinzani wa kipumbavu wa akina Sumaye, Kingunge, Nyalandu, Mbowe na Lowassa, bora ya CCM aisee
Madolezi na wewe ndio point zee zima unabemendwa