Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,781
- 22,885
kama hivyo vyama mnavyoviita dhaifu vinawapelekesha mpaka mnategemeo mbeleko la policcm na kununua kina propesa je vikija kama hivyo unavosema itakuwaje?si watarishiwa mabomu kabisa maana risasi sasa hivi zatumiaka shehe wangu...mmmejawa uoga tu kuwazuia watu wasifanye siasa na kujidanganya eti upinzani umekufa
Ungenielewa kuwa mimi siyo shabiki wa ccm, wala usingeliongea.
Ninacholaani ni kuwa upinzani tuliokuwa tukiupenda na kuushabikia, umetugeuka.
Upinzani uliopo sasa hauna dira tuliyokuwa tunaitaka sisi.
Sijui niandike facts na kufafanua kivipi ili unielewe vizuri!
Nimesema pia kuwa vyama vyote vya upinzani kwa sasa vina sura ya ukanda na ukabila, vijiwe vya mafisadi waliotemwa ccm, hayo wewe hujayajengea hoja katika uchambuzi wako.