Umeandika ukweli sana , lakini kwa huyu labda kura wapige polisi peke yao , huyu amechokwa hata na wajumbe wa mashina wa ccm , hana pa kutokea nakuapia !mimi naomba tusiseme tumeibiwa kura tuu wakati ukiwadia,kwasababu tatizo kubwa la kila siku na chaguzi zotee hamtaki kulitafutia ufumbuzi badala yake kila siku mnaota ndoto ya CCM kufa.
Weeeeee !!! Sema Thuuuuu !!!Juzi alisema, do you love corruption??? [emoji23][emoji23]
Ujinga unaongezeka kwa kasi kubwa sana awamu hii!CCM utapata viti vingi vya udiwani,hakuna mtu anahangaika na huu upinzani wa kipumbavu wa akina sumaye kingunge nyalandu mbowe na kubwa la mafisadi lowassa,bora ya CCM aisee kuliko hiyo NGO ya wachaga
Mpaka mna pyupyu!kama hivyo vyama mnavyoviita dhaifu vinawapelekesha mpaka mnategemeo mbeleko la policcm na kununua kina propesa je vikija kama hivyo unavosema itakuwaje?si watarishiwa mabomu kabisa maana risasi sasa hivi zatumiaka shehe wangu...mmmejawa uoga tu kuwazuia watu wasifanye siasa na kujidanganya eti upinzani umekufa
Huu ndio ukweli ambao bavicha hawataki kuusikia.As long as Magufuri ni mshindi kusuasua kunatokea wapi??
Pambaneni kwenye Ubunge sio Uraisi kwa sasa,bunge ndo kila kitu,wenzenu Uganda wanapigana hadi Bungeni hii ndio nguvu ya bunge. Pambaneni kuitoa CCM bungeni sio kwenye Uraisi huko bado sanaaa
CCM ipo bado sana yani mpaka upinzani upate akiliMpolepole si mmejenga mahakama ya mafisadi huyo unayemsema fisadi si mmpeleke huko...2020 mnatoka magogon
Ndoto.....T 2025 JPMKujfariji unajifariji wewe kada wa Lumumba
Kwa taarifa yako tu Magufuli ataweka "rekodi" ya kuwa Rais wa kwanza hapa TZ kwa kudumu kwa kipindi kimoja pekee cha miaka 5!
Watanyoooka tu.Uoga.com
Wa kujua upinzani kwishney wala hauna lolote maana wapo kama wapiga story chini ya mwembe.
Nchi inataka upinzani tofauti na uliopo.. usio wa wenye tamaa ya kujaza mifuko na matumbo yao tu.. bali ya kujali wananchi na sio kulialia huku hawana hoja hata ya sekunde..
Vimikutano vyao vyenyewe wanapoenda ni outing kwa wanaoenda kuwaangalia hizo sura zao za upinzani mchofu wenye viongozi wachovuuuuuuu.. hakuna kura hapo.. hivyo msilie
Kiongozi wa upinzani anamficha anayetakiwa kuhojiwa juu ya jambo walilomtendea anakwenda bungeni kuulizia hayo hayo.. eti mambo hayaendi.. kituko cha karne zote duniani
Magufuli ni kiboko yao ndio maana mnabwabwaja ovyo juu yake.. na bado juzi alisemaje???.. eeeeeeh
Unajidai uko neutral unaona aibu gani kusema kuwa wewe ni ccm?Ungenielewa kuwa mimi siyo shabiki wa ccm, wala usingeliongea.
Ninacholaani ni kuwa upinzani tuliokuwa tukiupenda na kuushabikia, umetugeuka.
Upinzani uliopo sasa hauna dira tuliyokuwa tunaitaka sisi.
Sijui niandike facts na kufafanua kivipi ili unielewe vizuri!
Nimesema pia kuwa vyama vyote vya upinzani kwa sasa vina sura ya ukanda na ukabila, vijiwe vya mafisadi waliotemwa ccm, hayo wewe hujayajengea hoja katika uchambuzi wako.
Hayo ni matamanio yenu bavicha na watu wa ufipa lakini haitotokea KAMWE.Wewe jifariji tu......
Huyu ndiye atakuwa Rais wa kwanza tokea mfumo wa vyama vingi urejeshwe kwa Rais aliyeteuliwa na CCM kuhudumu kwa kipindi kimoja tuiu!
Unajidai uko neutral unaona aibu gani kusema kuwa wewe ni ccm?
Watazionyesha kwa maDED hao hao wateule wa Rais Magufuli.....Hizo hasira hao watu watazioneshea wapi hiyo Novemba 26 mkuu? Kwa Tume hii hii ya uchaguzi?