Je, Rais Magufuli alidanganya kuhusu gharama za ujenzi wa hostel za UDSM?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Mwaka Jana Wakati Rais Akizindua Hostel Mpya Za UDSM Alisema Kwamba Hostel Hizo Zimejengwa Kwa Bilioni 10 Tu Cha ajabu Leo Rais Yuko Simiyu Anatuambia Tena Hostel Hizohizo Za Udsm Zilijengwa Kwa Bilioni 20!! Kimaadili Haipendezi Kiongozi Wa Nchi Kuwa Muongo Muongo!

Screenshot_20180909-073223.jpg
 
Aisee mimi nilishangaa sana mkuu wa nchi kuwa na lugha mbili

Pia ujenzi wa hospital unalinganishwa na hostel za chuo

wakati hospital inamahitaji mengi sana yenye gharama kubwa sana, tungeiona boq yake tungeweza kulinganisha
 
Mwaka Jana Wakati Rais Akizindua Hostel Mpya Za UDSM Alisema Kwamba Hostel Hizo Zimejengwa Kwa Bilioni 10 Tu Cha Ajabu Leo Rais Yuko Simuyu Anatuambia Tena Hostel Hizohizo Za Udsm Zilijengwa Kwa Bilioni 20!! Kimaadili Haipendezi Kiongozi Wa Nchi Kuwa Muongo Muongo!

View attachment 860912
huyu mtu anaboa sana,anajua Watanzania wengi ni washangiliaji hivyo haoni soni yoyote kusema uongo kwenye kadamnasi;maajabu ukiangalia hapo kuna watu wameshangilia na hao viongozi waandamizi anaotembea nao mda huo ndiyo wameshikana mikono kufurahia;Magufuli angeweza na anaweza kuwa raisi mzuri sana kama angecheza na nyakati na mazingira ya karne hii.Bahati mbaya alishasema hapangiwi hivyo ngoja watu tuendelee kulishwa upupu.
 
iv watu kwann mnamchukia magufuli uo ni ukosefu wa uzalendo kwaiyo katika yote aliyo yaongea nyi mlichosikia ni jinsi alivokosea tyu sio?? hakika nyiny ndio mnaorudisha maendeleo nyuma
 
Unapozungumzia maendeleo katika hizo kauli unakuwa umelenga nyanja ipi hasa? Na maendeleo yanakwamaje ktk hizo kauli?
usipomkubali raisi wako huwezi kulitumikia taifa lako kisawa sawa ni sawa na mtu anaekaa kwao akiw hampendi baba ake hawezi kushirik vzur shughul za nyumban
 
usipomkubali raisi wako huwezi kulitumikia taifa lako kisawa sawa ni sawa na mtu anaekaa kwao akiw hampendi baba ake hawezi kushirik vzur shughul za nyumban
Naona unaanzisha mada yako tunazungumzia usahihi wa ukweli wa ujengaji wa majengo ya umma ni upi?

Marekani unajua kabisa haiongozwi na mlengo wa chama kimoja sio wote wanaomkubali trump na wanamkosoa maendeleo yao yameharibika?
 
Back
Top Bottom