Je Rais Donald Trump ni Dikteta ?

Je Rais Donald Trump ni Dikteta ?

Mkuu huyu jamaa hakuwa tayari kuwa Rais wa Marekani ali beep ikaiitikia ndio maana anapata wakati mgumu kuweka sawa serikali yake. Hana experience yeyote wala hajawahi kushika nafasi yeyote serikali he was just business man and play boy.

Wolff's book says Trump 'never wanted to win the election' | Daily Mail Online

Jan 3, 2018 - Melania Trump was not happy when her husband won the election, and was reportedly in tears ... But since the election, the first lady has seemed to embrace her role alongside her

Kuna watu lakini hapa duniani wana vi smart vya ajabu sana.
I think alikuwa anataka zaidi publicity kwenye ile election zali likamwangukia ki ukweli.
Yaani ana run Nchi kama alivyo run Trump Org.
 
Mkuu huyu jamaa hakuwa tayari kuwa Rais wa Marekani ali beep ikaiitikia ndio maana anapata wakati mgumu kuweka sawa serikali yake. Hana experience yeyote wala hajawahi kushika nafasi yeyote serikali he was just business man and play boy.

Wolff's book says Trump 'never wanted to win the election' | Daily Mail Online

Jan 3, 2018 - Melania Trump was not happy when her husband won the election, and was reportedly in tears ... But since the election, the first lady has seemed to embrace her role alongside her
Japo simuamini Wolf na stori zake, ila tuwe wa kweli, who actually expected he will win?
Thats why he was saying anythng that came into his mind. Lakini kinacho mpa shida ku govern ukiacha na his impulsive personality ni ana taka ku stick kwa wale walo mchagua tuu (the base). Ambao ni just 30-37%
 
General alifanya vizuri sana Homeland na alikiwa akikaa na President wana elewana.

Lakini alivo ingia WH alikuta fujo ni nyingiii, especially kila mtu alikuwa na access na Rais, ndio unakuta Rais mida ya kazi ana tweet ujinga kisa kapewa habari na watu. Kwa hiyo alicho fanya ni ku control access to the president. Sometimes hata ukitoka kuongea na Rais anakuita umueleze ume mpa habari gani. For a normal president like Bush or Obama hii ni Sawa lakin kwa Trump hawezi hii system.
The result was Trump seema to be isolated na anahisi General ana mcontorl hadi yeye badala ya ku deal na WH staff.

Oh!, I see..

Nimekumbuka pia this's the main reason Omarosa aliondolewa, tena na Gen. Kelly alivyoingia. Omarosa alikuwa one of them with direct access to the President, akachemsha sijui alitaka ku force General alivyokatisha, ndio akawa fired.

Nimecheka hapo pa Rais kupewa info na kuanza ku tweet ujinga wakati wa kazi...LOL! 😀

Inaonekana walikuwa wakimwambia tu kuna mtu analeta za kuleta, hakuna cha filter wala nini, anaanza kurusha vijembe Twitter...lol
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
He hired them through twitter kwa hiyo wasishangae kufukuziwa humo.
Ila wafu wanasema Trump huwa hapendi kumwambia mtu you are fired. Hata kwenye apprentince alikuwa ana igizia tu ila he doesnt like it at all.

Huh!, he's the President for heavens sake..

Hiyo itakuwa soft side yake, kumbe ana huruma pia.
 
Oh!, I see..

Nimekumbuka pia this's the main reason Omarosa aliondolewa, tena na Gen. Kelly alivyoingia. Omarosa alikuwa one of them with direct access to the President, akachemsha sijui alitaka ku force General alivyokatisha, ndio akawa fired.

Nimecheka hapo pa Rais kupewa info na kuanza ku tweet ujinga wakati wa kazi...LOL! 😀

Inaonekana walikuwa wakimwambia tu kuna mtu analeta za kuleta, hakuna cha filter wala nini, anaanza kurusha vijembe Twitter...lol
Eeh ! Umeona ee.[emoji23] tena Omarosa ndio alikuwa kivuruge sanaa.
Una ambiwa Bannon alikuwa ana mpeleka article za breitbart basi Rais akiziona anazidi kuwa reckless. Sasa Preibus hakupewa mamlaka zoote kama Kelly halaf watu walikuwa hawampendi kwa hiyo alikuwa poweless CoS.
Sasa hivi hata kina Jared na Ivanka hawaingii ingii oval office kizembe. [emoji23]
Na juzi jamaa ka mstrip Jared top clearence ya security info. Huyu ndio General bhana.
 
Nina uhakika Democratic party watakuja kuthibiti bunge na senate kama Rais Donald Trump ataendeleza ubovu wake wa kimadaraka.

Newt Gingrich: Trump, Republicans must wake up or Pelosi and Democrats will soon control the House

Yap!, matokeo ya uchaguzi wa juzi ya Penn State, ukijumlisha na yale ya Alabama, is enough warning. Kote Democrats wamechukua.

Imagine hii ya juzi pale mahala, kwenye general election Trump aliondoka na almost 20 points over Hillary, halafu juzi wamepapoteza.
Mid elections zinazokuja, Pelosi atakuwa ana cross fingers saa hizi. Doesn't look too good for them Republicans wasipoangalia.

Iceman 3D
 
Ki historia midterms electiona siku zote huwa chama cha Rais kina poteza.
Kwenye kumbukumbu zangu ni Bush jr tuu mwaka 2002 ndio haku lose contorl kwa kuwa US walikuwa wametoka kwenye 9/11.
Ila Obama 2010- got swept
Clinton 1994-got swept
Reagan 1982, hata FDR alikuwa ana poteza seats.
Truman alipoteza kwenye house 54, kwenhe senate 11. Ila yet mwaka 1948 alishinda re-election
Midterms si za kuzishabikia sana kwa kuwa ni kawaida kwa the executive party to lose.
Dems wakazane pia 2020.
 
Midterms si za kuzishabikia sana kwa kuwa ni kawaida kwa the executive larty to lose.
Dems wakazane pia 2020.
Huwa ni kama wake up alarms kwamba it aint no time to be in bed.
 
JFK mwaka 1962 ali poteza japo alikuwa amefanikiwa ku solve cuban missile Crisis.

Ujue presidential elactions huwa zinakuwa na hisia. Sasa wale walio poteza kwenye uraisi huwa wana ibuka kwenye vi midrerm.
Wanao mpenda Rais watarud kumuokoa uchaguzi mkuu tenaa!
Sema kwa kuwa Trump ni unique character sja jua ata react vipi.
 
Eeh ! Umeona ee.[emoji23] tena Omarosa ndio alikuwa kivuruge sanaa.
Una ambiwa Bannon alikuwa ana mpeleka article za breitbart basi Rais akiziona anazidi kuwa reckless. Sasa Preibus hakupewa mamlaka zoote kama Kelly halaf watu walikuwa hawampendi kwa hiyo alikuwa poweless CoS.
Sasa hivi hata kina Jared na Ivanka hawaingii ingii oval office kizembe. [emoji23]
Na juzi jamaa ka mstrip Jared top clearence ya security info. Huyu ndio General bhana.

Kumbe Kelly ndo alimstrip Jared security top clearance?!
Kwa hiyo ni ile design ya either His way, or the Highway. Halafu Rais hakuweza hata kumkingia kifua mkwe.
Now I see why he's about to leave, kama anaondoka.
 
Kelly will go [emoji1] japo nadhan itakuwa mwezi wa 6 au 7 at least.
Sasa sjui nani ataweza kuwa CoS kwa Trump. Ni kaziii.
 
Eeh ! Umeona ee.[emoji23] tena Omarosa ndio alikuwa kivuruge sanaa.
Una ambiwa Bannon alikuwa ana mpeleka article za breitbart basi Rais akiziona anazidi kuwa reckless. Sasa Preibus hakupewa mamlaka zoote kama Kelly halaf watu walikuwa hawampendi kwa hiyo alikuwa poweless CoS.
Sasa hivi hata kina Jared na Ivanka hawaingii ingii oval office kizembe. [emoji23]
Na juzi jamaa ka mstrip Jared top clearence ya security info. Huyu ndio General bhana.

Halafu Omarosa kitu kingine ali bore ni kile kiburi.
I think she had a mentality kuwa just because she was a minority, if not the only black in that WH na kupata direct access me kwa Rais basi wangem keep.
You could tell she was in denial alivyokuwa fired, mpaka kuwa physically escorted out of the compound si mchezo.

Am just waiting for her tell-all-book...lol! 😀
 
Ki historia midterms electiona siku zote huwa chama cha Rais kina poteza.
Kwenye kumbukumbu zangu ni Bush jr tuu mwaka 2002 ndio haku lose contorl kwa kuwa US walikuwa wametoka kwenye 9/11.
Ila Obama 2010- got swept
Clinton 1994-got swept
Reagan 1982, hata FDR alikuwa ana poteza seats.
Truman alipoteza kwenye house 54, kwenhe senate 11. Ila yet mwaka 1948 alishinda re-election
Midterms si za kuzishabikia sana kwa kuwa ni kawaida kwa the executive party to lose.
Dems wakazane pia 2020.

Mh!, you Good!
Nakumbuka vizuri ya Obama tu, na Bush kidogo.

Bush alikuja kushuka alivyoondoka right?!, you'd think 9/11 ingembeba kwa namba nzuri mpaka alivyoondoka?!
 
Halafu Omarosa kitu kingine ali bore ni kile kiburi.
I think she had a mentality kuwa just because she was a minority, if not the only black in that WH na kupata direct access me kwa Rais basi wangem keep.
You could tell she was in denial alivyokuwa fired, mpaka kuwa physically escorted out of the compound si mchezo.

Am just waiting for her tell-all-book...lol! 😀
Hahaha
Kama uliangalia ile apprentince wako Omarosa na Piers Morgan haha
Omarosa naye ni impulsive kama alivo Rais. Na Jamaa huwa ana mpenda Omarossa mnoo. Ana ana jeuri yule sista acha tu.
Sema Kelly alimconvince Rais kuwa Omarosa hana kazi hapa analipwa bure tu.
Baadaye akajiharibia kwa kwenda kupiga picha za harusi yake Ikulu wakati dingi yuko Mar a lago.
Haha unasubiri kitabu akati alisha anza kuongea kwenye ile Celebrity Big brother. We mfuatile utaona ana toa toa umbea kule.
 
Mh!, you Good!
Nakumbuka vizuri ya Obama tu, na Bush kidogo.

Bush alikuja kushuka alivyoondoka right?!, you'd think 9/11 ingembeba kwa namba nzuri mpaka alivyoondoka?!
Mi nakumbuka Obama na Bush, hao wengine ni kupitia historia zao tuu usje ukadhani nilikuwepi mwaj 1948 [emoji23].

Mi Obama hadi leo huwa sjui alishindaje 2012! Lakini ndio ujue midterm hazi determine chochotee.

Bush ali handle fresh 9/11 yenyewe ila baadaye alikuja kushindwa ku handle uchumi, alianzisha vita ambayo haikuisaidia US na watu walikufa sana na ina washinda mpaka leo, na baadaye iligundulia walidanganya umma Kwani Silaha za hatari walizo sema ziko kwa Saddam hazikuepo.

Actually kwangu mimi nasema Donald is a whack person, but Bush was worse he had Whack policies.
 
Back
Top Bottom