Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,815
- 33,486
naona mtoa mada anataka aweke definition yake ya udikiteta ili tu iindane na mambo ya magufuli
kwani kufukuza watu na kuajiri ndani ya mwaka moja ndio udikiteta,hayo ni mamlaka anayapata kwenye katibaBado swali ni je, Trump ni dictator?
Andrew McCabe, ex-FBI deputy and Trump target, fired days before retiringI appreciate that am getting it from you too! [emoji4]
Kama Trump sio dikteta anawezaje kumfukuza kazi mtumishi aliyekuwa akifanya kazi FBI kwa miaka 20 na alikuwa astaafu jumapili hii. Huyu Andrew Mccabe amepoteza haki zake zote za kustaafu. Huyu jamaa anefukuzwa kazi leo.kwani kufukuza watu na kuajiri ndani ya mwaka moja ndio udikiteta,hayo ni mamlaka anayapata kwenye katiba
Hapa tupo kwenye masuala ya International Issue sasa ya Rais Magufuli yanatoka wapi? If huwezi ku discuss International matters you better step a sidenaona mtoa mada anataka aweke definition yake ya udikiteta ili tu iindane na mambo ya magufuli
Jambo moja tu ninalompendea Trump ni ukweli wake mtupu juu ya nchi masikini kama Tanzania, watu na viongozi wake. Hili tu ndilo ninakubaliana na Trump. Muda wa kubembelezana na kuwa politically correct haupo tena. [HASHTAG]#ShitholeCountries[/HASHTAG]Huyu Trump Ni Mtu wa Kuigwa....siyo kwamba matendo yake Ni Mazuri saaana,....la Hasha ila huyu jamaa kama wewe ni Mpambanaji wa Maisha kuna Funzo Kubwa Sana Unaweza Ukalipata kwa huyu Mzee..
-Yaani Main Stream Media karibu 90% zinamchafua Daily lakini jamaa yupo tu
-walimshambulia sana eti kawatukana Waafrika lakini haikufua Dafu....
-Walimwita mbaguzi wa Kijinsia sasa kawajibu kwa Kumuweka Afisa habari wa Ikulu Mwanamke , Muwakilishi wa USA kwa UN mwanamke, na Bado Keki ya CIA kampa Mwanamke (hapa Democrat wameufyata)
-Anakwambia hashindwi na Hajawahi Kushindwa....
Hivi Mauzo ya Kile kitabu Cha Fire & Fury yanaendeleaje manake watu walitabiri Kitamwondoa White House......
Kama Trump sio dikteta anawezaje kumfukuza kazi mtumishi aliyekuwa akifanya kazi FBI kwa miaka 20 na alikuwa astaafu jumapili hii. Huyu Andrew Mccabe amepoteza haki zake zote za kustaafu. Huyu jamaa anefukuzwa kazi leo..