Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
JFK mwaka 1962 ali poteza japo alikuwa amefanikiwa ku solve cuban missile Crisis.
Ujue presidential elactions huwa zinakuwa na hisia. Sasa wale walio poteza kwenye uraisi huwa wana ibuka kwenye vi midrerm.
Wanao mpenda Rais watarud kumuokoa uchaguzi mkuu tenaa!
Sema kwa kuwa Trump ni unique character sja jua ata react vipi.
Heheheh!, "Unique Character" haki nimecheka!
It's going to be Interesting unajua wakipoteza?!, I can't wait, haki Trump atatukana! 😀😀😀😀😀
Kama juzi tu wakati ana campaign kamwita Todd S.O.B hata sijui alimuudhi nini?!, sembuse apoteze uchaguzi!