Je Rais Donald Trump ni Dikteta ?

Je Rais Donald Trump ni Dikteta ?

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Kipindi cha mwaka mmoja wa utawala wa Rais Donald Trump maofisa wengi waandamizi wamefukuzwa na wengine wamejiuzulu kutoka kwenye serikali ya Rais huyo wa Marekani kwa wakati tofauti, na wengi wa viongozi hao walioondoka ni viongozi waliotofautiana na kiongozi huyo. Je Rais Donald Trump ana hulka ya kuwa Dikteta ?
Majina ya viongozi hayo ni haya hapa chini.

Steve Bannon
Chief strategist

President Trump told aides in August he had decided to remove Mr. Bannon, a right-wing nationalist who has clashed with other senior White House advisers and members of Mr. Trump's family. But a person close to Mr. Bannon said that he had submitted his resignation to the president earlier that month. Full story »

Gary D. Cohn

Chief economic adviser

Mr. Cohn's decision to leave came after he seemed poised to lose an internal struggle over Mr. Trump's plan to impose large tariffs on steel and aluminum imports. Full story »

Mike Dubke

Communications director

Mr. Dubke told colleagues that the reasons for his resignation were “personal.” Full story »

Michael T. Flynn

National security adviser

Mr. Trump asked Mr. Flynn for his resignation more than two weeks after he was told that Mr. Flynn had lied to the vice president and was vulnerable to blackmail by Russians. Full story »

Sebastian Gorka

White House adviser

Mr. Gorka served as an adviser to the president on national security issues. Two administration officials said that he was forced out, and a conservative website reported that he had resigned. Full story »

Hope Hicks

Communications director

On Feb. 28, Ms. Hicks, one of Mr. Trump's longest-serving advisers, said she planned to leave the White House in the coming weeks. Full story »

K. T. McFarland

Deputy national security adviser

Ms. McFarland, who was brought to the White House by Mr. Flynn, was named ambassador to Singapore last May. Full story »

Omarosa Manigault Newman

Director of communications for the White House Office of Public Liaison

A former contestant on Mr. Trump's reality TV show "The Apprentice," Ms. Newman was pushed out by Mr. Trump's chief of staff, John F. Kelly, in December. Full story »

Rob Porter

Staff secretary

Mr. Porter cleared out his office in early February amid accusations of spousal abuse. Full story »

Dina H. Powell

Deputy national security adviser

The White House announced on Dec. 8 that Ms. Powell, one of the most influential women in the Trump administration, was going to step down. Full story »

Reince Priebus

Chief of staff

Mr. Priebus was pushed out, tendering his resignation after Mr. Trump told Mr. Priebus he wanted to make a change and offered the job to John Kelly. Full story »

Anthony Scaramucci

Communications director

He was fired by Mr. Kelly days after a vulgarity-laced telephone call with a New Yorker reporter was made public. Full story »

Keith Schiller

Director of Oval Office operations

One of the president's most trusted aides, Mr. Schiller announced his departure in September. Full story »

Sean Spicer

Press secretary, communications director

Mr. Spicer resigned, telling Mr. Trump that he disagreed with Mr. Trump’s hiring of Mr. Scaramucci as communications director. Full story »

Katie Walsh

Deputy chief of staff

Ms. Walsh was forced out by Jared Kushner and other West Wing officials. She joined the pro-Trump outside group America First Policies.

Ezra Cohen-Watnick

Senior director for intelligence, National Security Council

Mr. Cohen-Watnick was appointed by Mr. Flynn. He was pushed out by Lt. Gen. H. R. McMaster, who succeeded Mr. Flynn. Full story »

Tera Dahl

Deputy chief of staff, N.S.C.

A former writer for Breitbart News who was appointed by Mr. Flynn, Ms. Dahl left the White House for a post at the United States Agency for International Development.

Derek Harvey

Middle East adviser, N.S.C.

No explanation was given for his exit, but Mr. Harvey was appointed by Mr. Flynn and was widely reported to have been at odds with Mr. McMaster. Full story »

Rich Higgins

Director in the strategic planning office, N.S.C.

Mr. Higgins was forced out after writing a memo arguing that Mr. Trump was being subverted by an array of foreign and domestic enemies, including “globalists” and officials of the “deep state.” Full story »

Josh Raffel

Senior communications official

Mr. Raffel mainly served as a spokesman for Mr. Kushner, the president's son-in-law and senior adviser.

Michael C. Short

Senior assistant press secretary

Mr. Short, who had been close to Mr. Spicer, resigned shortly after Mr. Scaramucci confirmed to reporters that he was planning to fire Mr. Short. Full story »

Rex Tillerson

Secretary of State

Donald Trump wants to be a dictator, according to the man that knows him best
 
Kwa nini usiwaongelee viongozi mamia wanaofanya kazi naye mpaka sasa? Hao wachache wameshindwa kwenda na kasi, kutofautiana kwa binadamu ni jambo la kawaida.

Hakuna udikteta hapo, KATIBA inampa mamlaka hayo ya kuteua na kutengua..
 
Wengi walioondoka ni wafuasi wa Sera za Obama.Sera za trump ni tofauti sana.trump ni kiongozi bora sana naweza kumfananisha na Ronald Regan. Trump ni mkweli sio mnafiki.pia yote anayofanya ndio aliyoahidi.amepingwa na media karibu zote amepingwa na Democratic lakini amewashindwa kwa kutumia twitter.wametunga kesi kibao zote hazina ushaidi.
 
Trump ni muumini wa free speech ,na hapendi udictator,hakuna sehemu yeyote ameonyesha udictator kama kutengua na kuteua ni udictator utakuwa unashangaza ase kufuta kazi ni uamuzi wa kiongozi aliyekuteua na aliyekuajiri na haikiuki sheria ,kama anaona maofisa wake hawaendani anawaondoa sababu mwisho wa siku atakayelaumiwa na kuhukumiwa n Rais .

Halafu kinginw Trump ni mfanyabiashara na CEO na inajulikana CEO'S world wide ishu ya kuwa fired ni kawaida kwao.Hakuna udictator wa Trump sehemu yeyote ile
 
Trump ni muumini wa free speech ,na hapendi udictator,hakuna sehemu yeyote ameonyesha udictator kama kutengua na kuteua ni udictator utakuwa unashangaza ase kufuta kazi ni uamuzi wa kiongozi aliyekuteua na aliyekuajiri na haikiuki sheria ,kama anaona maofisa wake hawaendani anawaondoa sababu mwisho wa siku atakayelaumiwa na kuhukumiwa n Rais .

Halafu kinginw Trump ni mfanyabiashara na CEO na inajulikana CEO'S world wide ishu ya kuwa fired ni kawaida kwao.Hakuna udictator wa Trump sehemu yeyote ile
Udikiteta unakuja pale Rais Donald Trump anakataa ushauri wa wasaidizi wake mfano Rex Tillerson alitoa ushauri wa Rais Donald Trump asikutane na kiongozi wa North Korea mpaka maafisa wa ngazi ya chini kutayarisha ajenda ya kikao hicho matokeo amemfukuza Waziri wa Mambo za Nje wa Marekani Rex Tillerson kwa kutumia Tweeter wakati akiwa ziarani Afrika bila kusubiri marejesheo ya ziara yake Afrika. Je huyu ni kiongozi makini.
 
Trump hana hulka ya kuwa dictator, isipokuwa
Aliajiri staff wengi ambao hawakuwa na misimamo kama yake.
Kwa aina kama yake ngumu kufanya naye kazi kama hamja mzoea..
Na hata angekuwa na hulka hiyo system ya US iko intact huwez kuwa dicteta utabaki ku wish tuu.
 
Trump hana hulka ya kuwa dictator, isipokuwa
Aliajiri staff wengi ambao hawakuwa na misimamo kama yake.
Kwa aina kama yake ngumu kufanya naye kazi kama hamja mzoea..
Na hata angekuwa na hulka hiyo system ya US iko intact huwez kuwa dicteta utabaki ku wish tuu.


I thought about your opinion..
 
Mkuu huyu jamaa hakuwa tayari kuwa Rais wa Marekani ali beep ikaiitikia ndio maana anapata wakati mgumu kuweka sawa serikali yake. Hana experience yeyote wala hajawahi kushika nafasi yeyote serikali he was just business man and play boy.


Wolff's book says Trump 'never wanted to win the election' | Daily Mail Online

Jan 3, 2018 - Melania Trump was not happy when her husband won the election, and was reportedly in tears ... But since the election, the first lady has seemed to embrace her role alongside her
 
Wengiii tuu wako njiani
Hasa Secretaries!


Lakini Gen. Kelly?!!, of all the people?!
Nilifikiri background yake was perfect for Trump?

Halafu sio aliwekwa hapo for an apparent reason, "to restore the order" in the WH baada ya zile nonstop leaks, something that Trump wanted?!
 
Lakini Gen. Kelly?!!, of all the people?!
Nilifikiri background yake was perfect for Trump?

Halafu sio aliwekwa hapo for an apparent reason, "to restore the order" in the WH baada ya zile nonstop leaks, something that Trump wanted?!
General alifanya vizuri sana Homeland na alikiwa akikaa na President wana elewana.

Lakini alivo ingia WH alikuta fujo ni nyingiii, especially kila mtu alikuwa na access na Rais, ndio unakuta Rais mida ya kazi ana tweet ujinga kisa kapewa habari na watu. Kwa hiyo alicho fanya ni ku control access to the president. Sometimes hata ukitoka kuongea na Rais anakuita umueleze ume mpa habari gani. For a normal president like Bush or Obama hii ni Sawa lakin kwa Trump hawezi hii system.
The result was Trump seema to be isolated na anahisi General ana mcontorl hadi yeye badala ya ku deal na WH staff.
 
Aiseeh!, yote tisa, kumi ni ku fire watu through media. Social Media to be exact.

So disrespectful!
Nafikiria hiyo might be the new style of leadership from United States to Afrika.
 
Aiseeh!, yote tisa, kumi ni ku fire watu through media. Social Media to be exact.

So disrespectful!

He hired them through twitter kwa hiyo wasishangae kufukuziwa humo.
Ila wafu wanasema Trump huwa hapendi kumwambia mtu you are fired. Hata kwenye apprentince alikuwa ana igizia tu ila he doesnt like it at all.
 
Wengi walikuwa wanamzidi kipato kwa mbali na lengo lilikuwa kuendeleza biashara zao ndio maana akaweka wenye pesa wote
Sasa wengi ni ma tycoons akiwajibu jeuri nao wanampa na matokeo yake anawatimua.
Rejea Rex Tillerson aliposema "moron
Halafu akakanusha lakini alisema maana zee babe na linanuka hela
All in all Trump sio dictator
 
Back
Top Bottom