kumbe ni propaganda? nchi gan kachukua shirika la umeme vip kuhusu bandari ya sir lanka
labda lkn sri lanka bandari wamechukuaKwa case ya sri lanka sijui ila kuhusu zambia for 100% ilikuwa ni fake news
Namaanisha viongozi wa Venezuela ni vilaza.mbna china alipo ona mfumo wa ujamaa hauna tija kiuchimi waliamua kutrans form kwenye uchumi wa kibepali na kufanikiwa hadi hapa walipo.ina maana viongozi wa Venezuela wameshindwa kuji funza kwa wenzao kama sio ubinafsi nn.Una maanisha nini unavyoandika ubinafsi wa viongozi wa Venezuela?
Usichokijua ni kuwa hta hyo simu unayotumia bila uwepo wa mtu mweusi na ardhi yake isingekuwepo!
Huwa nashangazwa na watu dzain hii wanaotetea wauaji na madhulumati wa kiwango km cha marekani
Kuna mazuzu humu hayajielewi kutwa kuitetea marekani licha ya uharibifu mkubwa wanaofanya kwa dunia
Mojawapo ni tanzania, baada ya kuwauzia migodi makampuni ya kimarekani kwa bei ya kutupa huku tukipata mrabaha wa 4% wenyewe wakipata 96%
China hawajauacha ukomunisti. Walichofanya ni kuupdate kwa kuchanganya kidogo na ubepari
Tht why njia zote kuu za uchumi wa china bado zipo mikononi mwa serikali
Hii ya kuchukua vitega uchumi kwa nchi anazozidai ni propaganda za nchi za magharibi kumharibia mchina
Kamuulize magufuli atakuambia jinsi russia inavyoisaidia tz. Na juzi kwenye ule mkopo wa siri kuna mkopo umetoka russia.Naona unaichukulia US kama taarab vile, ukome sbb ndio wanakuwezesha hata ww humu utumie hiyo simu yako na internet utapike pumba zako huku, unapewa na misaada, ulishaona msaada hata mmoja wa Russia ktk maisha yako? US ndio kila kitu, kichwa kibuyu wee
Tupe ukweli?Kwa case ya sri lanka sijui ila kuhusu zambia for 100% ilikuwa ni fake news
Mpk sasa russia 3-usa 0Naona mvutano ni mkubwa sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].Hii ndio JF
Hakuna source ambayo iko proved na hizi habari za china sijui kuchukua airport ni uzushi mtupuMkuu acha mahaba.wachina wanaungwa jeshini, na pia ingekuwa zambia pekee tunge sema saw saiv hadi kwa kenya bandali ya mombasa karibu inachukuliwa. Saw nmbie baada ya nchi kushindwa kulipa deni China anachukua hatua gani
Mkuu ngalia usijikuwa zuzu ndo ww.uyo russia na China wanaweza simama kifua mbele kwamba kuna nchi imeendelea kupitia sela na mfumo yao.swala la umwagaji damu hakuna saint hapo wa kumnyoshea kidole mwenzie
Wap hapaja eleweka mkuuMbona hueleweki hebu rudia kuandika tena
Mbona hata uyo russia na mchina wauwaji.mkuu acha kupelekeshwa na hisia
Namaanisha viongozi wa Venezuela ni vilaza.mbna china alipo ona mfumo wa ujamaa hauna tija kiuchimi waliamua kutrans form kwenye uchumi wa kibepali na kufanikiwa hadi hapa walipo.ina maana viongozi wa Venezuela wameshindwa kuji funza kwa wenzao kama sio ubinafsi nn.
Ntajie izo kampuni? Swala la kusain ni ujinga wa aliye sain kwa sababu hatukushiwa bunduki.acha chuki zisizo na msingi
Lakin mkuu hakuna mahala panapo onyeshe selikali ya Zambia au China kukanusha tuhuma izo na pia kuwatoa hofu wana nchi.pia China kuchukua port ya sir Lanka,na kenya port ya mombasa na inatosha kuthibisha mchina si mtu mzuri kwa ustawi na maendeleo ya AfricaHakuna source ambayo iko proved na hizi habari za china sijui kuchukua airport ni uzushi mtupu
Naona u have been caught up with propaganda news from western media