Je, Profesa Mark Mwandosya alipomtuhumu Rafiki yake J Kikwete alikuwa na majina ya Urais mfukoni alikuwa sahihi?

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Mark Mwandosya na Jakaya Kikwete ni marafiki wa siku nyingi na ni vijana wa Mwalimu Nyerere aliowapenda na kuwatuma kama wanae

Prof Mwandosya alimtuhumu Mwenyekiti wake wa chama kuwa amekuja na majina yake mfukoni ya wagombea Urais mwaka 2015 huku akidhibiti watu Wengine wasijadiliwe

Miaka sita baadae Kikwete anakili alikuwa na majina yake mfukoni kwa lengo nzuri tu moja na kubwa ni kudhibiti watu wenye umri mkubwa wa kizazi chake wawaachie vijana madaraka

Ni dhahiri akina Mizengo Pinda na Prof Mwandosya kwa hotuba ya jana ya kumuaga hayati Magufuli wamepata Jibu kamili kwanini Rafiki yao aliamua kuwakata majina

Ingawa Mwandosya alimpa ukweli Rafiki yake kuwa ana majina mfukoni bado Urafiki wao haujakoma na unaendelea
 
Kikwete anazuga tu lakini niukweli uliowazi kwamba baada ya marehemu kukalia kiti cha madaraka hapa kuwa na strong Communication skills baina ya Marehemu na yeye baadhi ya speech zao zilikuwa zinajieleza

Like Wastahafu Wana washwa washwa etc ndio vile huwa wanasema maiti huwa hasemwi kwa mabaya so Jk alikuwa anajaribu kusafisha Hali ya hewa but deep down anaujua ukweli wa kile alichokizungumza
 
Rais wa Nchi anachaguliwa na idadi ya watu wanaojaa kwny Bajaji

Nyie wengine kazi yenu kulowesha vidole kwny wino eti mnachagua Rais

Mama Samia anakwambia hata Kamati kuu wakishangia ndani kumbe ndani ya Kamati kuu kuna Vingunge ndio wanaenda kuchagua wengine wanabaki wanakula biscuit na Kahawa tu
 
Rais wa Nchi anachaguliwa na idadi ya watu wanaojaa kwny Bajaji

Nyie wengine kazi yenu kulowesha vidole kwny wino eti mnachagua Rais

Mama Samia anakwambia hata Kamati kuu wakishangia ndani kumbe ndani ya Kamati kuu kuna Vingunge ndio wanaenda kuchagua wengine wanabaki wanakula biscuit na Kahawa jina
Hahahaaa siasa za Tanganyika ni ngumu sana(Ndio Tanganyika sijakosea manaake hata wale wa Chumbe kwa mbele wanaamuaga Tanganyika)

Na ni kweli kamati kuu wanaingia halafu kuna kachemba tena kakamati kadogo ka kamati kuu. Na huko Alpha ni mmoja tu(Aliyekalia kiti). Labda sijui itokee nini ashindwe kushawishi wenzake huko chemba

Sisi wengine huku kuanzia kina Mahera sijui kampeni siku 40 huwa ni "rubber stamp" tu
 
Rais wa Nchi anachaguliwa na idadi ya watu wanaojaa kwny Bajaji

Nyie wengine kazi yenu kulowesha vidole kwny wino eti mnachagua Rais

Mama Samia anakwambia hata Kamati kuu wakishangia ndani kumbe ndani ya Kamati kuu kuna Vingunge ndio wanaenda kuchagua wengine wanabaki wanakula biscuit na Kahawa jina
Naona umerudi baada ya ule mfumo kudondoka.
 
Kikwete anazuga tu. It is an open secret kwamba yeye alitaka kutuachia lile jasusi linaloitwa Benard Camilius Membe... mzee wa dakika ya 90.

Bahati nzuri mzee Mkapa (RIP) aliingilia kati na kusaidia kupindua meza
Walivobeba tu begi aliaza kutaja dakika ,ni 89,sio 90......
 
Rais wa Nchi anachaguliwa na idadi ya watu wanaojaa kwny Bajaji

Nyie wengine kazi yenu kulowesha vidole kwny wino eti mnachagua Rais

Mama Samia anakwambia hata Kamati kuu wakishangia ndani kumbe ndani ya Kamati kuu kuna Vingunge ndio wanaenda kuchagua wengine wanabaki wanakula biscuit na Kahawa jina
Huu ndio utaratibu wa dunia, Rais wa nchi hachaguliwi kiholele!

Enzi za Biblia tunasoma kuwa kulikuwa na "mahali patakatifu" na "mahali patakatifu pa patakatifu"

Aliyeruhusiwa kuingia patakatifu pa patakatifu ni kuhani mkuu na yeye aliingia huko baada ya kujitakasa maana ukiingia na madhambi ulikuwa hurudi!

Hii ilifanya kila anayeingia huko afungwe mnyororo mguuni ili akifia huko iwe rahisi kumvuta maana hakuna aliyekuwa na uhakika na "usafi" wa aliyeingia huko

Hivyo lazima wengine wabaki wanapiga soga na kula biscuits wakati wenye "upako" wa kuingia "patakatifu pa patakatifu" waingie kuchaka nani ashike nchi

Ikumbukwe hiyo chemba inaingiwa na watu sahihi tu, wasafi, waadilifu, wazalendo na wenye mapenzi na nchi

Wanaoingia patakatifu pa patakatifu pa NEC ni wale wenye classified information kuhusu kila anayestahili kujadiliwa huko!

Wanaingia wenye taarifa sahihi za wagombea na sio wenye mahaba na mapenzi na mtu fulani ndiomaana hata fulani alishindwa kuwashawishi makuhani wenzake wampe nchi fulani maana wote wanaoingia huko wanakuwa na "classified information" Kifupi wakiwa huko wote wanakuwa makuhani wakuu!

Hakuna Cha kaka, swahiba wala ndugu! Wanapingana na kukubaliana kwa hoja! Hapitishwi mtu kwa mapenzi ya mtu mmoja tu bali kwa makubaliono ya wengi wanaoingia humo!

Ikumbukwe kuhani mkuu kwa Wakati huo anakuwa ni Rais, mtu mwenye kila aina ya njia ya kupata taarifa aitakayo hata akitaka kujua yai la mgombea lilitungwa mimba saa ngapi atajua lakini hawezi kuwalazimisha kwa lazima makuhani wenzake wakubali ikiwa wana mashaka japo Kuna mmoja alikuwa anaelekea huko ila ndo hivyo mapenzi ya Mungu si ya wanadamu!
 
Mark Mwandosya na Jakaya Kikwete ni marafiki wa siku nyingi na ni vijana wa Mwalimu Nyerere aliowapenda na kuwatuma kama wanae

How true is this statement? Kama ni marafiki basi ndio huo urafiki wa mashaka wa kisiasa!!! I stand to be corrected na watu kama "the BOSS" juu ya usahihi wa hiyo statement!
 
Kikwete anazuga tu. It is an open secret kwamba yeye alitaka kutuachia lile jasusi linaloitwa Benard Camilius Membe... mzee wa dakika ya 90.

Bahati nzuri mzee Mkapa (RIP) aliingilia kati na kusaidia kupindua meza
Sio kweli hata kidogo,haya ni maneno ya uwongo
 
Huu ndio utaratibu wa dunia, Rais wa nchi hachaguliwi kiholele!

Enzi za Biblia tunasoma kuwa kulikuwa na "mahali patakatifu" na "mahali patakatifu pa patakatifu"

Aliyeruhusiwa kuingia patakatifu pa patakatifu ni kuhani mkuu na yeye aliingia huko baada ya kujitakasa maana ukiingia na madhambi ulikuwa hurudi!

Hii ilifanya kila anayeingia huko afungwe mnyororo mguuni ili akifia huko iwe rahisi kumvuta maana hakuna aliyekuwa na uhakika na "usafi" wa aliyeingia huko

Hivyo lazima wengine wabaki wanapiga soga na kula biscuits wakati wenye "upako" wa kuingia "patakatifu pa patakatifu" waingie kuchaka nani ashike nchi

Ikumbukwe hiyo chemba inaingiwa na watu sahihi tu, wasafi, waadilifu, wazalendo na wenye mapenzi na nchi

Wanaoingia patakatifu pa patakatifu pa NEC ni wale wenye classified information kuhusu kila anayestahili kujadiliwa huko!

Wanaingia wenye taarifa sahihi za wagombea na sio wenye mahaba na mapenzi na mtu fulani ndiomaana hata fulani alishindwa kuwashawishi makuhani wenzake wampe nchi fulani maana wote wanaoingia huko wanakuwa na "classified information" Kifupi wakiwa huko wote wanakuwa makuhani wakuu!

Hakuna Cha kaka, swahiba wala ndugu! Wanapingana na kukubaliana kwa hoja! Hapitishwi mtu kwa mapenzi ya mtu mmoja tu bali kwa makubaliono ya wengi wanaoingia humo!

Ikumbukwe kuhani mkuu kwa Wakati huo anakuwa ni Rais, mtu mwenye kila aina ya njia ya kupata taarifa aitakayo hata akitaka kujua yai la mgombea lilitungwa mimba saa ngapi atajua lakini hawezi kuwalazimisha kwa lazima makuhani wenzake wakubali ikiwa wana mashaka japo Kuna mmoja alikuwa anaelekea huko ila ndo hivyo mapenzi ya Mungu si ya wanadamu!
Kwenye hicho chumba msitafu alikuwa mmoja... Ben, akalazimisha jina la magu liwepo kwenye 5, moja la jk likafutwa
 
Jk mwenyewe hakujua kama magu atatoboa, alijua hata makamba anaweza mshinda, makosa aliyoyafanya jk, alijua mkapa anaakili ndogo tu, ilipofika kwenye kura magu akawa no 3, January 1, yule mdada no 2, shida yule dogo alikuwa mdogo sana, pili alikuwa mwislamu,nguvu zikamuishia kikwete, hesabu zikagoma kabisa kwenye maamuzi kule mkapa akalazimisha dogo akatwe, awekwe mwanamke mwingine toka bara, wakiamini mwanamke wa zanzibar anaweza shinda,
Kama mnakumbuka vizuri, siku majina matatu yanapelekwa mkutano mkuu, alianza kuitwa yule dada wa zenji, akafata dada wa singida, akafata mzee baba,
Kikwete alianza kuhisi maluweluwe baada ya kanda ya ziwa kuripuka kwa shangwe kusikia jina la magu lipo kati ya matatu, hapo ni saa sita usiku..... Na wale hawataki habari za wanawake kabisa, asili yao ni ubabe, so magu aliwakilisha vyema hulka yao, kwahiyo 100% mikoa saba ikampokea kwenye kura za mkutano mkuu, mkapa akaishia kucheka tu, kama mnakumbuka tafuteni clip ambayo mkapa alitoka ikulu kumpa pongezi magu, alisema nn, kwamba mkitaka mtu makini bado mm nipo niiteni tu ntawasaidia kumpata,
kikwete alifurahi tu baada ya kujua kanda ya magu itambeba na chama kitashinda, pili dini yake, hapo ni baada ya hesabu zake kugonga mwamba, haya anayoongea sasahivi ni uongo tu, hizi ni verified info kabisa
 
Kama unashida yoyote kujua nn kilifanyika niulize ntakwambia
 
Kikwete anazuga tu lakini niukweli uliowazi kwamba baada ya marehemu kukalia kiti cha madaraka hapa kuwa na strong Communication skills baina ya Marehemu na yeye baadhi ya speech zao zilikuwa zinajieleza

Like Wastahafu Wana washwa washwa etc ndio vile huwa wanasema maiti huwa hasemwi kwa mabaya so Jk alikuwa anajaribu kusafisha Hali ya hewa but deep down anaujua ukweli wa kile alichokizungumza
Jk anajikosha kujirudisha kwenye reli , anaongea haya baada ya bingwa kuzimika,alikuwa wapi kujitutumua kuwa yeye ndie alimuweka bingwa no.1
 
Huu ndio utaratibu wa dunia, Rais wa nchi hachaguliwi kiholele!

Enzi za Biblia tunasoma kuwa kulikuwa na "mahali patakatifu" na "mahali patakatifu pa patakatifu"

Aliyeruhusiwa kuingia patakatifu pa patakatifu ni kuhani mkuu na yeye aliingia huko baada ya kujitakasa maana ukiingia na madhambi ulikuwa hurudi!

Hii ilifanya kila anayeingia huko afungwe mnyororo mguuni ili akifia huko iwe rahisi kumvuta maana hakuna aliyekuwa na uhakika na "usafi" wa aliyeingia huko

Hivyo lazima wengine wabaki wanapiga soga na kula biscuits wakati wenye "upako" wa kuingia "patakatifu pa patakatifu" waingie kuchaka nani ashike nchi

Ikumbukwe hiyo chemba inaingiwa na watu sahihi tu, wasafi, waadilifu, wazalendo na wenye mapenzi na nchi

Wanaoingia patakatifu pa patakatifu pa NEC ni wale wenye classified information kuhusu kila anayestahili kujadiliwa huko!

Wanaingia wenye taarifa sahihi za wagombea na sio wenye mahaba na mapenzi na mtu fulani ndiomaana hata fulani alishindwa kuwashawishi makuhani wenzake wampe nchi fulani maana wote wanaoingia huko wanakuwa na "classified information" Kifupi wakiwa huko wote wanakuwa makuhani wakuu!

Hakuna Cha kaka, swahiba wala ndugu! Wanapingana na kukubaliana kwa hoja! Hapitishwi mtu kwa mapenzi ya mtu mmoja tu bali kwa makubaliono ya wengi wanaoingia humo!

Ikumbukwe kuhani mkuu kwa Wakati huo anakuwa ni Rais, mtu mwenye kila aina ya njia ya kupata taarifa aitakayo hata akitaka kujua yai la mgombea lilitungwa mimba saa ngapi atajua lakini hawezi kuwalazimisha kwa lazima makuhani wenzake wakubali ikiwa wana mashaka japo Kuna mmoja alikuwa anaelekea huko ila ndo hivyo mapenzi ya Mungu si ya wanadamu!
Typical Bongo mindset!
 
Back
Top Bottom