Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,664
- 272,498
- Thread starter
-
- #41
Aibu kubwa sana ! wafanyabiashara wenzangu wa Johannesburg wamenicheka sana !Kutoka kwenye hadhi ya Bunge adhim la Jamhuri ya Muungano na hatimae kufanywa Rubber Stamp Parliament in just 3yrs.
Hii Awamu inatupeleka kwenda kwenye Jamhuri ya Ndizi.
Asiye na imani na CAG ni Ndugai na vibaraka anaowatumikia , Si bunge hata chembeNakubaliana nawe kabisa! Na najua kweli bunge ni dhaifu, lakini swali langu, kama Bunge huwa linafanyia kazi reports za CAG kuishauri Serikali, litaendelea vipi na CAG asiyeliamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini swali langu, Yeye Assad hana imani na Bunge sbb ni dhaifu, sasa bunge litafanya naye vipi kazi kama haliamini?
NISAMEHE LAKINI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuandiki tu hivi hivi mkuuSeriously kuna haja ya kumuongezea ulinzi, kuna kila dalili picha ndio kwanza limeanza... Tutaona mengi awamu hii......
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu yangu ni ya uProf wa kunanga bunge la nchi na serikali yangu huko radio UNO.
Hohehahe ni yule anaye shauri ulinzi kwa CAG. Huo ulinzi anapewa na nani dhidi ya nani??
Hii haina tofauti na Kiongozi kama PM mstaafu kuhamia upinzani akashiriki maandamano batili, yule mlinzi wake atapambana na efefiyuu wanaotawanya waandananaji ama atamuacha boss wake achezee virungu na mabomo ya machozi?
Demokrasia wakati mwengine inaruhusu mambo ya kijingajinga na hovyo sana. Mtu kama Maalim Seif ama Sumai nao wanalindwa huku wanaipinga serikali inayowapa ulinzi wa bure. Ifike mahali sheria ipitishwe ukishafikia cheo flani ni marufuku kujishughulisha na upinzani. Ukikaidi unashughulikiwa kama gharama kwa taifa.

Naked truth !Kukataa kufanyakazi na CAG maana yake bunge halitaki reoort za ofisi ya CAG na si Assad kama mtu. Kwa maana hiyo, baada ya budget, taarifa ya matumizi ya taasisi za umma hazitopokelewa bungeni kama mrejesho. Hii maana yake matumizi yote yanayofanyika kiholela hayatakuwa na ukaguzi na hili ndio lengo takwa la wenye kugawa pesa kiholela. Wabunge wameingua kichwa kichwa bila kuelewa kinacho endelea. Kwa ufupi ni kuwa tunatakiwa kuishi kifalme. Pesa ikitolewa na mfalne au mtu wake hakuna kukagua au kuhoji. Huko ndiko kunakotakiwa kwenda. Taasisi ya CAG inafutwa kiaina kupitia azimio la bunge. Mchelea mwana kulia mwishowe hulia yeye. Wabunge kumbukeni ubunge una mwisho. Vizazi vyenu vitakuja kulia kwa maamuzi yenu yenu ya sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wanapambana sana hata na mitandao , yaani ukipiga "LIKE" jambo wasilolipenda tu wanakutafuta , Poor ccm !Ndio nchi pekee niliyosikia mbunge kafungiwa kisa kaunga mkono hoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Nchi wameshaifanya Jamhuri ya Ndizi.Ndio maana wanapambana sana hata na mitandao , yaani ukipiga "LIKE" jambo wasilolipenda tu wanakutafuta , Poor ccm !
na wengine wote wanaosema NDIOOOOOOOOOOOOO !!!
Naomba nikuache na wanasiasa wenu!sasa kama ameona ni dhaifu kwann wasirekebishe...namaanisha spika achujue hatua pale inapotakikana
niwie radhi pia
Kabisa .MUngu atamlinda...
View attachment 1061459
Huyu mtu kiukweli anayajua madudu mengi mno ya nchi hii , na kwa jinsi ya maelezo ya kamati ya maadili ya bunge , kuna chuki kubwa sana iliyochanganyika na wivu wa kimasikini uliojaa ushamba mkubwa sana ndani yake dhidi ya Assad.
Nashauri kwenye kipindi hiki cha mpito Profesa huyu aongezewe ulinzi .
Wenye akili wamenielewa .