Je, Prof. Mark Mwandosya atakwenda kwenye ziara ya Mh Rais?

Mkoani Kagera Mzee Kagasheki alikataa kata kata kuwa miongoni mwa wazee watakaompokea Rais alivyokuja kwenye ziara ya kutoa pole mkoani Kagera baadae baada ya ziara ile kuna vijineno alianza kuwa anaviandika kupitia twitter.

Sasa je najiuliza Prof. Mark Mwandosya atavunja ukimnya na kwenda kumlaki Rais?

Karibuni watabiri.
Mwandosya ni mstaarabu, ataenda kuonana na Rafiki yake Magufuli.
 
Watu wakishastaafu majukumu ya kitaifa impliedly wanakuwa walezi wa jamii wanazotoka hususan ukitilia maanani jamii anayoishi ndipo asili yake kabisa yaani alipotokea hivyo kuhudhuria mapokezi ya Rais sioni kama ni dhambi bila ya kujali anaenda sawa na President au laa
Tujifunze kufanya siasa za kiungwana bila ya matarajio ya kupata uungwana toka kwa wanasiasa wenzetu bali wananchi
Kama kutohudhuria Sugu alipaswa kuwa number 1 kwa sababu hakuna asiyejua kwamba kwa miaka 3 iliyopita mfululizo kumekuwa na mipango ya kumpigia kampeni za chini kwa chini Bi Dada wakati Sugu mwenyewe akiwa hai
 
Mkoani Kagera Mzee Kagasheki alikataa kata kata kuwa miongoni mwa wazee watakaompokea Rais alivyokuja kwenye ziara ya kutoa pole mkoani Kagera baadae baada ya ziara ile kuna vijineno alianza kuwa anaviandika kupitia twitter.

Sasa je najiuliza Prof. Mark Mwandosya atavunja ukimnya na kwenda kumlaki Rais?

Karibuni watabiri.
Ni ngumu sana ndio maana hata kwenye ratiba ya ziara busokelo haikuwemo .ilikuwa raisi magufuli asifike Busokelo lakini ghafla tunaambiwa anaenda busokelo ina maana kuna watu wamemshauri Raisi afike kama kuna waliomshauri juu ya hilo basi watakuwa wameishamuweka sawa Mark Mwandosya.
Tusubili nini kitatokea.Mwandisya ni mwenye hekima msomi asie mnafiki na anaesimamia anachokiamini.
 
Mkoani Kagera Mzee Kagasheki alikataa kata kata kuwa miongoni mwa wazee watakaompokea Rais alivyokuja kwenye ziara ya kutoa pole mkoani Kagera baadae baada ya ziara ile kuna vijineno alianza kuwa anaviandika kupitia twitter.

Sasa je najiuliza Prof. Mark Mwandosya atavunja ukimnya na kwenda kumlaki Rais?

Karibuni watabiri.
Nani?? Kagasheki wa Tokomeza? Afilie mbali huko! Yeye aliathilika na awamu ya 4, au alitaka akumbukwe tena? He is a past tense!
 
Siasa za siku hizi hazihitaji Hekima, Busara na Ujenzi wa Hoja,
ni ubabe, ubabe, nguvu etc etc.

Wenye hekima zao,
Waliokuwa wanafanya Siasa za kujenga Hoja.

Siku hz wamekaa pembeni.
 
Back
Top Bottom