Kwani kuna Billionaire yupi aliyewahi kutingisha hii dunia kwa kula kila aina ya bata na vipochi manyoya buku(1, 000/=) zaidi ya Mfalme Suleiman?“Money can’t buy happiness” huu msemo unatakiwa usemwe na Milioneas kwa wale ambao sio milionea wanajidanganya
Una pesa kuliko matajiri wa hivi sasa Jeff Bezzos na Bill Gates ambao wameachwa na wake zao ilihali bado wanaendelea kutikisa dunia ktk msimamo wa matajiri watano bora duniani?Mkuu binafsi niliwahi kuachwa na mwanamke niliyemuamini tuliyedumu naye kwa miaka zaidi ya 10 kisa pesa.
Cha kushangaza huko alikoenda kaishia kuzalishwa na kuacha akarudi analia lia
Nikiri kuna baadhi ya wanaume tunaweza kupenda mwanamke unconditionally, unamlea hata kama hana kitu unamthamini lakini usitegemee upendwe kama huna pesa.
Kuna kipindi nilikuwa na mawazo kama yako lakini saivi nimekuja kuamini huwezi kupendwa kama huna pesa, na ndo jinsi ilivyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unatuuliza kwani sisi ni wanawake
Soka La Juu Sana.Mkuu binafsi niliwahi kuachwa na mwanamke niliyemuamini tuliyedumu naye kwa miaka zaidi ya 10 kisa pesa.
Cha kushangaza huko alikoenda kaishia kuzalishwa na kuacha akarudi analia lia
Nikiri kuna baadhi ya wanaume tunaweza kupenda mwanamke unconditionally, unamlea hata kama hana kitu unamthamini lakini usitegemee upendwe kama huna pesa.
Kuna kipindi nilikuwa na mawazo kama yako lakini saivi nimekuja kuamini huwezi kupendwa kama huna pesa, na ndo jinsi ilivyo.
Ukweli MtupuTAFUTA HELA, HELA INAONDOA A LOT OF BULLSHIT
True StoryFact bila pesa huenda hata mwanamke mucha Mungu usipate
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭Oyaa wakuu tutafute pesaa, lasivyo....
Kama tayari unapendwa inanogesha mapenzi
Ndio Inawavutia wanawake, lakini kwa kawaida ni aina mbaya ya wanawake, wale ambao kimsingi wanapendezwa na pesa (Slay Queens). Wanaume wengi wenye akili, wacheshi, watanashati na wenye haiba nzuri wana mengi zaidi ya kutoa kuliko pesa tu......
![]()
Pesa iwepo Tu kama kilainishi mfano Sabuni au KY Kuongeza Utelezi Kwenye Mapenzi.
Pesa Ikikosekana Iwe Ni Swala La Muda mfupi Tu, Sio Muda Wote Pesa Hakuna.
Mapenzi Bila Pesa Yanasumbua Sana.
Mkuu siku moja fanya utafiti, tafuta mwanamke ile mnaenda kukutana nenda kihasara bila gari, alafu mpeleke geto lililochoka choka uangalie muitikio wake.Una pesa kuliko matajiri wa hivi sasa Jeff Bezzos na Bill Gates ambao wameachwa na wake zao ilihali bado wanaendelea kutikisa dunia ktk msimamo wa matajiri watano bora duniani?
Si unaona hatimaye hata huyo Mke wako alirudi baadaye na kulia lia kwako akimaanisha mbali na kukosa kwako pesa kuna baadhi ya vitu alikuwa anavikosa kwa Tajiri aliyemkimbilia na kukukumbuka wewe?
Mkuu binafsi niliwahi kuachwa na mwanamke niliyemuamini tuliyedumu naye kwa miaka zaidi ya 10 kisa pesa.
Cha kushangaza huko alikoenda kaishia kuzalishwa na kuacha akarudi analia lia
Nikiri kuna baadhi ya wanaume tunaweza kupenda mwanamke unconditionally, unamlea hata kama hana kitu unamthamini lakini usitegemee upendwe kama huna pesa.
Kuna kipindi nilikuwa na mawazo kama yako lakini saivi nimekuja kuamini huwezi kupendwa kama huna pesa, na ndo jinsi ilivyo.
mhhMkuu wanawalea wa sasa wanataka pesa, cheo, muonekano na umaarufuMkuu binafsi niliwahi kuachwa na mwanamke niliyemuamini tuliyedumu naye kwa miaka zaidi ya 10 kisa pesa.
Cha kushangaza huko alikoenda kaishia kuzalishwa na kuacha akarudi analia lia
Nikiri kuna baadhi ya wanaume tunaweza kupenda mwanamke unconditionally, unamlea hata kama hana kitu unamthamini lakini usitegemee upendwe kama huna pesa.
Kuna kipindi nilikuwa na mawazo kama yako lakini saivi nimekuja kuamini huwezi kupendwa kama huna pesa, na ndo jinsi ilivyo.
What is happyness?!“Money can’t buy happiness” huu msemo unatakiwa usemwe na Milioneas kwa wale ambao sio milionea wanajidanganya
Ukweli mtupu. Mwanamka anakuona kama kinyago tuu kama huna hela.Mkuu binafsi niliwahi kuachwa na mwanamke niliyemuamini tuliyedumu naye kwa miaka zaidi ya 10 kisa pesa.
Cha kushangaza huko alikoenda kaishia kuzalishwa na kuacha akarudi analia lia
Nikiri kuna baadhi ya wanaume tunaweza kupenda mwanamke unconditionally, unamlea hata kama hana kitu unamthamini lakini usitegemee upendwe kama huna pesa.
Kuna kipindi nilikuwa na mawazo kama yako lakini saivi nimekuja kuamini huwezi kupendwa kama huna pesa, na ndo jinsi ilivyo.
👏👏👏👏👏👏👏Kama tayari unapendwa inanogesha mapenzi