Hayo sio matatizo yangu bali yake na ndugu zake na huwa sitaki kushirikishwa.
Hainisumbui kichwa hata kidogo kuna vitu vingi tuu napenda kuvifanya ntatumia muda kuvifanya kuliko nitumie muda kufatilia kwanini anampenda huyu na yule kwanini ana cheat.....
Mie mwenyewe sio malaika, na cheat mara kibao.
But hapo kutakua hakuna upendo bali n tendo tuu... kama ctokua nakosea
Sent using Jamii Forums mobile app
SaaawaUsitoke nje ya mada..... wivu sina....
Na mtu akiwa na wivu na mimi ataishi maisha ya shida sana bora aache maana huwa sijali hata kidogo.