Je, Papa ndiye mrithi wa mtakatifu Petro?

Mkuu ajabu ya hawa watu ukiwauliza kitu within the bible wanakuletea bonge la mgazeti wa utetez out of the bible which are non sens
Wanaboa sana yesu akiulizwa alijibu short tena kwa usahihi ila hw wenzetu ni kama hawajui majibu ya mambo yao jinsi anavoandika ndiyo anapata point, kwa jinsi tunavopenda majibu mazuri yaliyonyooka unajikuta unaona ni tahira tu kajibu, haiwezekani SWALI la maneno matano lijibiwe kwa aya 70 na vipengele 50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaukosoa ukatoliki kwa hoja za kwenye bible but wakatolik badala ya kujibu kwakutumia hoja za kwenye bible wao wanaleta reference za vitabu vya kikatolik [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mimi c msabato ila sijawah kuona sehem wasabato wametukana wakatolik kama ipo nioneshe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaboa sana yesu akiulizwa alijibu short tena kwa usahihi ila hw wenzetu ni kama hawajui majibu ya mambo yao jinsi anavoandika ndiyo anapata point, kwa jinsi tunavopenda majibu mazuri yaliyonyooka unajikuta unaona ni tahira tu kajibu, haiwezekani SWALI la maneno matano lijibiwe kwa aya 70 na vipengele 50

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanya hivyo ili kutupoteza na ukiwabana sana wanasingizia kuwa wasabato.....mi skifch nlikuwa mkatolik nikabak nashangaa mambo kibao ya ukatolik kwenye biblia hayapo kabisa.....nikaachana nao
 
pole sana
hayo ndo matokeo ya kuvamiavamia mambo usiyoyajua na kuvamiavamia lugha za watu......

unashangaa kulikosa neno "catholic" kwenye biblia yako wakati hilo neno "catholic" ndilo agizo la mwisho kutolewa na yesu kwa mitume wake kabla ya yeye kupaa mbinguni. we endelea kushangaa acha waliomuelewa yesu waendelee kuchanja mbuga na neno lake.

kwa nyongeza tu ndani ya hiyo biblia yako kuna nyaraka saba za kikatoliki yaani "catholic letters" sasa natumaini ushindwe hata kushangaa.
Nipe ushahid wakimaandsh toka katika biblia sio vitabu vyenu hvyo
 
naomba chanzo cha hiyo habari yako.
2018-08-23 22.16.17.jpg
 
Nipe ushahid wakimaandsh toka katika biblia sio vitabu vyenu hvyo
😂😂😂😂akikujibu nahama nchi......
Wakikujibu nahama nchi😄😄😄
sijaona mahali ambapo petro kaanzisha kidude kinaitwa rozali au scapulari.....kadhalika sijaona mahali ambapo Yesu kasema mmwombe mama yangu awaombee kwangu ilimsamehewe dhambi zenu, wala sehem ambayo Petro kachonga sanam mfano wa Yesu akaipigia magot nakuanza kuomba.....wala sehemu ambayo wale wakristo wa kwanza wakienda kuungama dhambi zao kwa petro au paulo au Yohana bali wote walizielekeza toba zao kwa Yesu kristo......
punguza jazba mpendwa twende polepole kwa utulivu

sasa ili kunogesha mjadala wa maswali ulioyaibua wewe mwenyewe na ili ubishe na kulumbana kwa ufanisi ninaomba majibu ya kibiblia juu ya maswala yafuatayo.

kuhusu habari ulizoziibua kwenye post zako za mambo ya "Imeandikwa wapi, imeandikwa wapi!” “Onesha aya ya Biblia, onesha aya!”, "haionekani popote katika biblia", "ooh toka mwanzo mpaka ufunuo hakuna agizo kama hilo wala maandishi kama hayo" na kadhalika.

kudai kila unachokitenda, kila unachokifanya na kila unachokiamini ni lazima kionekane na kuandikwa katika biblia ni UDHALILISHAJI WA KAZI NA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU (kivipi, sioni haja kueleza ila ukihitaji maelezo nitakupa), pia ni UDHALILISHAJI WA WAZI KABISA WA YULE ALIYETUTAKA TUMPENDE MUNGU KWA AKILI ZETU ZOTE NA TUMTAFUTE SANA ELIMU TUSIMWACHE AENDE ZAKE

sasa je, elimu yote inapatikana katika biblia ? ,

je uhalali wa matumizi ya vifafa vyote ambavyo ni matokeo ya sayansi na tecnolojia tena vingine umehifadhia neno la Mungu "soft copy" vinapatikana katika biblia ?

je, unauhakika wavumbuzi wa hivyo vifaa vyote ni wakristo wacha Mungu ? unahabari kuwa baadhi yao ni wapagani na watu waliomwasi Mungu ?

kabla ya kutaka kuondoa kibanzi kilicho kwenye jicho la SALA NA KAZI ungeondoa kwanza boriti iliokatika jicho lako mwenyewe, unaosha kikombe chako kwa nje, je unahakika ndani ni kisafi ?

huo mchezo wa imeandikwa ooh imeandikwa wapi, ooh haionekani popote katika biblia sio mgeni na wala haujaanza leo wala juzi kwa mara ya kwanza ulianzishwa na (Padre) Martin Luther katika karne ya 16. lakini alipoulizwa Wapi ilipoandikwa kwenye Biblia kwamba ni lazima Wakristo wafanye au waamini na wapokee mambo yaliyoandikwa kwenye Biblia tu, yaani pasipo kuchanganua ?” swali lililala kiporo mpaka nukta hii unaposoma hii post yangu.

sasa kama unaona theologia yako na ufundi wako kibiblia ni mkubwa kuliko padre luther pangua hayo maswali huko juu la sivyo usilazimishe kufungua mlango ambao unakubana wewe mwenyewe

sasa imetosha, hivyo kuhusu ufarisayo wa kutaka kunitoa kibanzi ilihali wewe mwenyewe una boriti ndani ya jicho lako. au kutaka kuosha kikombe kwa nje ilihali ndani ukipaficha ninaufunga kwa kusubiri majibu ya mwaswali yafuatayo kibiblia

1: ni wapi yesu aliwaamuru wafuasi wake wayakusanye na kuyahifadhi mafundishilo yake ? ni aya gani hiyo ya biblia ina hilo agizo ?

ni wapi yesu aliwaagiza wakristo wayaweke mafundisho yote yamuhusuyo Mungu ndani ya kitabu kiitwacho biblia ? (mkuu na rafiki unatumia vitu ambavyo Yesu hakuagiza, ni halali kweli hiyo kwa mkristo ?)

2: ni wapi yesu aliamuru wanakanisa wawe na majengo ya kusalia ?

na tena ni wapi aliagiza hayo majengo yaitwe makanisa badala ya masinagogi na mahekalu ni wapi ? nioneshe mpendwa

3: ni wapi yesu aliamuru watu watafsiri maneno na mafundisho yake toka kiaramyo au kigiriki kwenda kiswahili na kiingereza ? ni wapi yesu aliagiza ivyo mpendwa ?

ninasubiri majibu la sivyo kaa kimya na endelea na yaliondani ya uwezo wako.

nafikiri umenielewa kuwa hata icho kitabu unachokiita biblia hakina idhini wala.uhalali wa kutumika na wanaojiita wakristo sababu yesu hakuagiza mtu yeyote akitengeneze wala akusanye mafundisho yake au ya mitume wake.

Otorong'ong'o
 
Back
Top Bottom