ni kama vile "ellen gould white" alivokuwa nabiieti mtu anadanganywa kabisa eti PETRO alikuwa papa
ni kama vile "ellen gould white" alivokuwa nabiieti mtu anadanganywa kabisa eti PETRO alikuwa papa
kwanza mimi sina jazba hata kidogo na wala sina chuki na mtu yeyote.punguza jazba mpendwa twende polepole kwa utulivu
sasa ili kunogesha mjadala wa maswali ulioyaibua wewe mwenyewe na ili ubishe na kulumbana kwa ufanisi ninaomba majibu ya kibiblia juu ya maswala yafuatayo.
kuhusu habari ulizoziibua kwenye post zako za mambo ya "Imeandikwa wapi, imeandikwa wapi!” “Onesha aya ya Biblia, onesha aya!”, "haionekani popote katika biblia", "ooh toka mwanzo mpaka ufunuo hakuna agizo kama hilo wala maandishi kama hayo" na kadhalika.
kudai kila unachokitenda, kila unachokifanya na kila unachokiamini ni lazima kionekane na kuandikwa katika biblia ni UDHALILISHAJI WA KAZI NA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU (kivipi, sioni haja kueleza ila ukihitaji maelezo nitakupa), pia ni UDHALILISHAJI WA WAZI KABISA WA YULE ALIYETUTAKA TUMPENDE MUNGU KWA AKILI ZETU ZOTE NA TUMTAFUTE SANA ELIMU TUSIMWACHE AENDE ZAKE
sasa je, elimu yote inapatikana katika biblia ? ,
je uhalali wa matumizi ya vifafa vyote ambavyo ni matokeo ya sayansi na tecnolojia tena vingine umehifadhia neno la Mungu "soft copy" vinapatikana katika biblia ?
je, unauhakika wavumbuzi wa hivyo vifaa vyote ni wakristo wacha Mungu ? unahabari kuwa baadhi yao ni wapagani na watu waliomwasi Mungu ?
kabla ya kutaka kuondoa kibanzi kilicho kwenye jicho la SALA NA KAZI ungeondoa kwanza boriti iliokatika jicho lako mwenyewe, unaosha kikombe chako kwa nje, je unahakika ndani ni kisafi ?
huo mchezo wa imeandikwa ooh imeandikwa wapi, ooh haionekani popote katika biblia sio mgeni na wala haujaanza leo wala juzi kwa mara ya kwanza ulianzishwa na (Padre) Martin Luther katika karne ya 16. lakini alipoulizwa Wapi ilipoandikwa kwenye Biblia kwamba ni lazima Wakristo wafanye au waamini na wapokee mambo yaliyoandikwa kwenye Biblia tu, yaani pasipo kuchanganua ?” swali lililala kiporo mpaka nukta hii unaposoma hii post yangu.
sasa kama unaona theologia yako na ufundi wako kibiblia ni mkubwa kuliko padre luther pangua hayo maswali huko juu la sivyo usilazimishe kufungua mlango ambao unakubana wewe mwenyewe
sasa imetosha, hivyo kuhusu ufarisayo wa kutaka kunitoa kibanzi ilihali wewe mwenyewe una boriti ndani ya jicho lako. au kutaka kuosha kikombe kwa nje ilihali ndani ukipaficha ninaufunga kwa kusubiri majibu ya mwaswali yafuatayo kibiblia
1: ni wapi yesu aliwaamuru wafuasi wake wayakusanye na kuyahifadhi mafundishilo yake ? ni aya gani hiyo ya biblia ina hilo agizo ?
ni wapi yesu aliwaagiza wakristo wayaweke mafundisho yote yamuhusuyo Mungu ndani ya kitabu kiitwacho biblia ? (mkuu na rafiki unatumia vitu ambavyo Yesu hakuagiza, ni halali kweli hiyo kwa mkristo ?)
2: ni wapi yesu aliamuru wanakanisa wawe na majengo ya kusalia ?
na tena ni wapi aliagiza hayo majengo yaitwe makanisa badala ya masinagogi na mahekalu ni wapi ? nioneshe mpendwa
3: ni wapi yesu aliamuru watu watafsiri maneno na mafundisho yake toka kiaramyo au kigiriki kwenda kiswahili na kiingereza ? ni wapi yesu aliagiza ivyo mpendwa ?
ninasubiri majibu la sivyo kaa kimya na endelea na yaliondani ya uwezo wako.
nafikiri umenielewa kuwa hata icho kitabu unachokiita biblia hakina idhini wala.uhalali wa kutumika na wanaojiita wakristo sababu yesu hakuagiza mtu yeyote akitengeneze wala akusanye mafundisho yake au ya mitume wake.
Otorong'ong'o
Naona unaandka utetez mreeefu kaa ukijua kila kilichoandkwa kwenye biblia nakutafsiliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu ni sahihi na hakitokaa kibadilike sasa katka zile amri kumi nyinyi mko nazo kinyume ya 4 na ya 5 inshort nikwamba mnaanzsha iman yenu nje Ya iman ya Yesu ebu zitizame hzo amr chini kisha mniambie ni lini Yesu alizifuta ama kuzrekebsha ili mimi nijue kwamba biblia inajikosoa yenyewe em tizama;punguza jazba mpendwa twende polepole kwa utulivu
sasa ili kunogesha mjadala wa maswali ulioyaibua wewe mwenyewe na ili ubishe na kulumbana kwa ufanisi ninaomba majibu ya kibiblia juu ya maswala yafuatayo.
kuhusu habari ulizoziibua kwenye post zako za mambo ya "Imeandikwa wapi, imeandikwa wapi!” “Onesha aya ya Biblia, onesha aya!”, "haionekani popote katika biblia", "ooh toka mwanzo mpaka ufunuo hakuna agizo kama hilo wala maandishi kama hayo" na kadhalika.
kudai kila unachokitenda, kila unachokifanya na kila unachokiamini ni lazima kionekane na kuandikwa katika biblia ni UDHALILISHAJI WA KAZI NA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU (kivipi, sioni haja kueleza ila ukihitaji maelezo nitakupa), pia ni UDHALILISHAJI WA WAZI KABISA WA YULE ALIYETUTAKA TUMPENDE MUNGU KWA AKILI ZETU ZOTE NA TUMTAFUTE SANA ELIMU TUSIMWACHE AENDE ZAKE
sasa je, elimu yote inapatikana katika biblia ? ,
je uhalali wa matumizi ya vifafa vyote ambavyo ni matokeo ya sayansi na tecnolojia tena vingine umehifadhia neno la Mungu "soft copy" vinapatikana katika biblia ?
je, unauhakika wavumbuzi wa hivyo vifaa vyote ni wakristo wacha Mungu ? unahabari kuwa baadhi yao ni wapagani na watu waliomwasi Mungu ?
kabla ya kutaka kuondoa kibanzi kilicho kwenye jicho la SALA NA KAZI ungeondoa kwanza boriti iliokatika jicho lako mwenyewe, unaosha kikombe chako kwa nje, je unahakika ndani ni kisafi ?
huo mchezo wa imeandikwa ooh imeandikwa wapi, ooh haionekani popote katika biblia sio mgeni na wala haujaanza leo wala juzi kwa mara ya kwanza ulianzishwa na (Padre) Martin Luther katika karne ya 16. lakini alipoulizwa Wapi ilipoandikwa kwenye Biblia kwamba ni lazima Wakristo wafanye au waamini na wapokee mambo yaliyoandikwa kwenye Biblia tu, yaani pasipo kuchanganua ?” swali lililala kiporo mpaka nukta hii unaposoma hii post yangu.
sasa kama unaona theologia yako na ufundi wako kibiblia ni mkubwa kuliko padre luther pangua hayo maswali huko juu la sivyo usilazimishe kufungua mlango ambao unakubana wewe mwenyewe
sasa imetosha, hivyo kuhusu ufarisayo wa kutaka kunitoa kibanzi ilihali wewe mwenyewe una boriti ndani ya jicho lako. au kutaka kuosha kikombe kwa nje ilihali ndani ukipaficha ninaufunga kwa kusubiri majibu ya mwaswali yafuatayo kibiblia
1: ni wapi yesu aliwaamuru wafuasi wake wayakusanye na kuyahifadhi mafundishilo yake ? ni aya gani hiyo ya biblia ina hilo agizo ?
ni wapi yesu aliwaagiza wakristo wayaweke mafundisho yote yamuhusuyo Mungu ndani ya kitabu kiitwacho biblia ? (mkuu na rafiki unatumia vitu ambavyo Yesu hakuagiza, ni halali kweli hiyo kwa mkristo ?)
2: ni wapi yesu aliamuru wanakanisa wawe na majengo ya kusalia ?
na tena ni wapi aliagiza hayo majengo yaitwe makanisa badala ya masinagogi na mahekalu ni wapi ? nioneshe mpendwa
3: ni wapi yesu aliamuru watu watafsiri maneno na mafundisho yake toka kiaramyo au kigiriki kwenda kiswahili na kiingereza ? ni wapi yesu aliagiza ivyo mpendwa ?
ninasubiri majibu la sivyo kaa kimya na endelea na yaliondani ya uwezo wako.
nafikiri umenielewa kuwa hata icho kitabu unachokiita biblia hakina idhini wala.uhalali wa kutumika na wanaojiita wakristo sababu yesu hakuagiza mtu yeyote akitengeneze wala akusanye mafundisho yake au ya mitume wake.
Otorong'ong'o
Wakat huohuo wamesahau kwamba petro alioa na pia petro hajawah kuruhusu watu watubu dhambi kwake wala petro hajawah kuchonga sanamu ya Yesu kusema tuipigie magotUKATOLIKI NA USHETANI NI MTU NA NDUGUYE
eti mtu anadanganywa kabisa eti PETRO alikuwa papa
Hahahaaaaaaaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia imetabiri kabisa watakuwepo manabii ,ni kama vile "ellen gould white" alivokuwa nabii
Hapo ndipo wanapojikuta wamejificha kwenye kichaka cha karangaWakat huohuo wamesahau kwamba petro alioa na pia petro hajawah kuruhusu watu watubu dhambi kwake wala petro hajawah kuchonga sanamu ya Yesu kusema tuipigie magot
nasubiri majibu ya maswali niliokuuliza ili nami nijibu ya kwako kwani ni maswali ni similarkwanza mimi sina jazba hata kidogo na wala sina chuki na mtu yeyote.
Pili nikujibu maswali yako kwanini tafsili ilikuwa hv ikawa vile kwa lugha hii ama ile nikwamba Mungu huteua watu wake kama ambavyo aliwateua mitume wake waeneze mafundisho ya
Naona unaandka utetez mreeefu kaa ukijua kila kilichoandkwa kwenye biblia nakutafsiliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu ni sahihi na hakitokaa kibadilike sasa katka zile amri kumi nyinyi mko nazo kinyume ya 4 na ya 5 inshort nikwamba mnaanzsha iman yenu nje Ya iman ya Yesu ebu zitizame hzo amr chini kisha mniambie ni lini Yesu alizifuta ama kuzrekebsha ili mimi nijue kwamba biblia inajikosoa yenyewe em tizama;View attachment 845291
Hivi umeamua kufia kwenye dhambi?kufia ukatolikini na huku unajua unafata njia ya upotevuni ni hasara,nasubiri majibu ya maswali niliokuuliza ili nami nijibu ya kwako kwani ni maswali ni similar
kurukiarukia mambo na kuhamisha magoli sio moja ya njia sahihi za kuendesha mijadala ila ni kuivuruga, unaweza jibu swali kwa njia ya swali kama mimi nilivofanya kwenye post yangu huko juu. ila sio kugeuza mada
YESU MWENYEWE ALISHAONESHA KWAMBA MAMA YAKE ALIKUWA NI NJIA TU YA YEYE KUJA DUNIANI HANA UWEZO WOWOTE ULE WAKUWAOMBEA WATU MSAMAHA WA DHAMBI KAMA AMBAVYO BINADAM YOYOTE HANA HUO UWEZO.....tena Yesu alienda mbali zaid aliposema mama na ndugu zangu ni wale walishikao neno langu.....pia petro baada ya jogoo kuwika kwanini asimtafute mama maria ili akamuombee msamaha ispokuwa alienda direct katka toba yeye kama yeye......Hapo ndipo wanapojikuta wamejificha kwenye kichaka cha karanga
Uzuri mapadri wanaujua ukweli ila hawa fata upepo na kwakuwa kazaliwa humo anaona ndio Kafika na anatetea hata uongo uonekane ukweli ,
Kama Ignatus wa loyola alivyosema HATA KAMA ATAONA NI NYEUSI LAKINI KANISA KATOLIKI LITASEMA HII NI NYEUPE ,BASI ATAKOMAA KUSEMA HII NI NYEUPE JAPOKUWA ANAJUA NI NYEUSI
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali yangu hayawez yakawa similar na yako hata siku moja mimi nakuuliza within the bible wewe outside the bible alafu pia mimi ndiye wakwanza kukuuliza ni wap imeandikwa niwap imeandikwa!....chaajabu unanishauri nikae kimya kitu ambacho nivigum kwa mimi kukaa kimya ni sawa nakukubaliana na upotofu wa msingi uloachwa na KRISTO.nasubiri majibu ya maswali niliokuuliza ili nami nijibu ya kwako kwani ni maswali ni similar
kurukiarukia mambo na kuhamisha magoli sio moja ya njia sahihi za kuendesha mijadala ila ni kuivuruga, unaweza jibu swali kwa njia ya swali kama mimi nilivofanya kwenye post yangu huko juu. ila sio kugeuza mada
Yaelekea huyu bado hajaujua ukweli na kama kaujua bas shetan kamkamata kisawasawa ujue hawa mabwana makatolik ndo wanasababsha hata waislam waone wakristo wooote wanaabudu sanam, wanatubu dhambi kwa binadam wenzao wanasali rozali kinyume na biblia yaoHivi umeamua kufia kwenye dhambi?kufia ukatolikini na huku unajua unafata njia ya upotevuni ni hasara,
Hebu toka huko usipotee dhambini,
Sent using Jamii Forums mobile app
vilevile biblia hiyohiyo ndio iliompa petro cheo cha upapaBiblia imetabiri kabisa watakuwepo manabii
manabii wote wa Mungu wanaonekana na wameandikwa katika biblia sasa ellen white ni wapi alitabiriwa kwamba atatokea na aya gani imemuandika katika biblia ?Sasa papa wapi aliambiwa atakuwa papa,
Hahahaa kweli kabisa , uzuri mapadri wanaujua ukweli vzr tatizo hawa fata upepoYESU MWENYEWE ALISHAONESHA KWAMBA MAMA YAKE ALIKUWA NI NJIA TU YA YEYE KUJA DUNIANI HANA UWEZO WOWOTE ULE WAKUWAOMBEA WATU MSAMAHA WA DHAMBI KAMA AMBAVYO BINADAM YOYOTE HANA HUO UWEZO.....tena Yesu alienda mbali zaid aliposema mama na ndugu zangu ni wale walishikao neno langu.....pia petro baada ya jogoo kuwika kwanini asimtafute mama maria ili akamuombee msamaha ispokuwa alienda direct katka toba yeye kama yeye......
Nioneshe andiko moja tu kuwa Petro cheo chake ni PAPAvilevile biblia hiyohiyo ndio iliompa petro cheo cha upapa
manabii wote wa Mungu wanaonekana na wameandikwa katika biblia sasa ellen white ni wapi alitabiriwa kwamba atatokea na aya gani imemuandika katika biblia ?
ahsante kwa majibu.Maswali yangu hayawez yakawa similar na yako hata siku moja mimi nakuuliza within the bible wewe outside the bible alafu pia mimi ndiye wakwanza kukuuliza ni wap imeandikwa niwap imeandikwa!....chaajabu unanishauri nikae kimya kitu ambacho nivigum kwa mimi kukaa kimya ni sawa nakukubaliana na upotofu wa msingi uloachwa na KRISTO.
Naomba andiko 1 tu ,kuwa petro ana cheo cha UPAPA,vilevile biblia hiyohiyo ndio iliompa petro cheo cha upapa
manabii wote wa Mungu wanaonekana na wameandikwa katika biblia sasa ellen white ni wapi alitabiriwa kwamba atatokea na aya gani imemuandika katika biblia ?
Hkuna hata kumbukumbu moja katika Biblia ambapo Petro ameitwa “Papa” au “Baba Mtakatifu”, LABDA KWENYE KATEKISIMU NA MISALE YA WAUMINIvilevile biblia hiyohiyo ndio iliompa petro cheo cha upapa
manabii wote wa Mungu wanaonekana na wameandikwa katika biblia sasa ellen white ni wapi alitabiriwa kwamba atatokea na aya gani imemuandika katika biblia ?
nioneshe andiko moja tu kuwa ellen white cheo chake ni nabii alietumwa na MunguNioneshe andiko moja tu kuwa Petro cheo chake ni PAPA
halafu biblia haijataja majina ya mapapa wataotokea baadae (kuanzia pope st linus papa wa pili baada ya petro mpaka His holines pope francis)halafu biblia haijataja majina ya manabii watakaotokea baadae , inaonesha ni jinsi gani huijui Biblia ,
ndio maana unakuta mtu ni PROF kama yule SDA president anaeishi marekani ati anaamini kuwa white ni nabii kama eliya wakati hayumo kwenye biblia kitu ambacho hata mtoto wa STD 7 anaejua kuisoma biblia hawezi kukubaliana nachondio maana Unakuta mtu na PHD anaabudu kinyago cha mungu isis(mnaita BIKIRA MARIA) alichochonga mmakonde asiye hata na STD 7
Wapi petro kaapewa upapa😁😁😁vilevile biblia hiyohiyo ndio iliompa petro cheo cha upapa
manabii wote wa Mungu wanaonekana na wameandikwa katika biblia sasa ellen white ni wapi alitabiriwa kwamba atatokea na aya gani imemuandika katika biblia ?