The introvert JF-Expert Member Joined Sep 15, 2023 Posts 1,213 Reaction score 2,445 Jun 16, 2026 #1 Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1HsAGK9VGK/ Ama ndiyo tuseme karma is real, imeanza kuwatafuna wenyewe? Au Nyumba imekosa mlezi sahihi? Nachanganyikiwa mjukuu wenu.
Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1HsAGK9VGK/ Ama ndiyo tuseme karma is real, imeanza kuwatafuna wenyewe? Au Nyumba imekosa mlezi sahihi? Nachanganyikiwa mjukuu wenu.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,409 Reaction score 29,075 Jun 16, 2026 #2 Mpaka sasa ndio wamepata nguvu ya kuongea ndio mwanzo wa kujikwamua kwao
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,442 Reaction score 108,483 Jun 16, 2026 #3 Baba ni kicjwa cha familia, haswa kwa nyumba ambayo mama ni kichwa maji, bila ya baba ni mateso bila chuki
Baba ni kicjwa cha familia, haswa kwa nyumba ambayo mama ni kichwa maji, bila ya baba ni mateso bila chuki
Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 5,465 Reaction score 18,931 Jun 16, 2026 #4 Tatizo ni watoto wa kambo
The introvert JF-Expert Member Joined Sep 15, 2023 Posts 1,213 Reaction score 2,445 Jun 16, 2026 Thread starter #5 makaveli10 said: Baba ni kicjwa cha familia, haswa kwa nyumba ambayo mama ni kichwa maji, bila ya baba ni mateso bila chuki Click to expand... Tunapoelekea ni wapi kama viongozi wa familia wameanza kushikana mashati
makaveli10 said: Baba ni kicjwa cha familia, haswa kwa nyumba ambayo mama ni kichwa maji, bila ya baba ni mateso bila chuki Click to expand... Tunapoelekea ni wapi kama viongozi wa familia wameanza kushikana mashati
The introvert JF-Expert Member Joined Sep 15, 2023 Posts 1,213 Reaction score 2,445 Jun 16, 2026 Thread starter #6 Harmful said: Tatizo ni watoto wa kambo Click to expand... Hahaha sio walezi wamewalea vibaya watoto wa kambo?
Harmful said: Tatizo ni watoto wa kambo Click to expand... Hahaha sio walezi wamewalea vibaya watoto wa kambo?
The introvert JF-Expert Member Joined Sep 15, 2023 Posts 1,213 Reaction score 2,445 Jun 16, 2026 Thread starter #7 wa stendi said: Mpaka sasa ndio wamepata nguvu ya kuongea ndio mwanzo wa kujikwamua kwao Click to expand... Kazi kweli kweli
wa stendi said: Mpaka sasa ndio wamepata nguvu ya kuongea ndio mwanzo wa kujikwamua kwao Click to expand... Kazi kweli kweli
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,442 Reaction score 108,483 Jun 16, 2026 #8 The introvert said: Tunapoelekea ni wapi kama viongozi wa familia wameanza kushikana mashati Click to expand... Ukiona mvuke, jua joto la ndani ninkali zaidi... aidha waipue, wapunguze mkaa ama tusubiri vikaukie kabisa.
The introvert said: Tunapoelekea ni wapi kama viongozi wa familia wameanza kushikana mashati Click to expand... Ukiona mvuke, jua joto la ndani ninkali zaidi... aidha waipue, wapunguze mkaa ama tusubiri vikaukie kabisa.
The introvert JF-Expert Member Joined Sep 15, 2023 Posts 1,213 Reaction score 2,445 Jun 16, 2026 Thread starter #9 makaveli10 said: Ukiona mvuke, jua joto la ndani ninkali zaidi... aidha waipue, wapunguze mkaa ama tusubiri vikaukie kabisa. Click to expand... True say, ngoja tusubiri tuone watakachofanya
makaveli10 said: Ukiona mvuke, jua joto la ndani ninkali zaidi... aidha waipue, wapunguze mkaa ama tusubiri vikaukie kabisa. Click to expand... True say, ngoja tusubiri tuone watakachofanya
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,907 Reaction score 29,231 Jun 16, 2026 #10 The introvert said: Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1HsAGK9VGK/ Ama ndiyo tuseme karma is real, imeanza kuwatafuna wenyewe? Au Nyumba imekosa mlezi sahihi? Nachanganyikiwa mjukuu wenu. Click to expand... Anko kakabidhiwa.
The introvert said: Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/ https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1HsAGK9VGK/ Ama ndiyo tuseme karma is real, imeanza kuwatafuna wenyewe? Au Nyumba imekosa mlezi sahihi? Nachanganyikiwa mjukuu wenu. Click to expand... Anko kakabidhiwa.