Je, nyama ya nguruwe (mkuu wa meza) ni najisi?

HAPANA MKUU!
Najisi Ni Dhambi anayotenda mtu......Kitabu kizuri cha kutufundisha mambo haya ni Bible .
Nguruwe Iliitwa Najisi Kipindi cha Wana Wa israel walipofunga Agano na Mungu Mlima sinai.
Baadhi ya vitu viliitwa najisi ni ....
Baadhi ya vyakula..Nyama..samaki nk:
Baadhi ya vitu vingeweza kumtia mtu unajisi ni...
kushika damu.
Kufanya Mapenzi.
Kutokuoga.
Ku blid...tena hapa nawew mwanaume haupaswi kulala na mtu anae blid.

HILO AGANO LILIKUWA KIMWILI ZAIDI.
Kwa mfano Mungu Alipotaka Kuwatembelea Watu Wake Aliwaambia Wafue Nguo Zao Wawe Safi....Lakin Saivi Mungu Anapotaka Amtembelee Nikuosha dhambi zake tu!)

Agano la kale lilokuwa kivuli lilikuwa mfano wa hili tulionalo sasa.
Mkuu we Kula Nguruwe ila Usitukane,usidanganye,usiue,nk
 
Back
Top Bottom