Nimesikia kuwa serikali ina mpango wa kutengeneza noti mpya.
Nakumbuka pia kuna mjadala ushawahi kutokea kuhusu nchi zilizowahi kutengeneza pesa mpya ambazo zilikuwa na thamani zaidi kuliko zile za mwanzo. Mfano ni Zambia katika kwacha yao na Ghana katika Cedi yao.
Je Tanzania nayo ina mpango huo? Yaani elfu moja mpya kuwa sawa na elfu kumi ya sasa?
Yaani kitendo hichi kitafanya Sh ya kenya kuwa centi kadhaa, na Uganda pesa itakuwa ndogo kuliko kawaida?
Je itamaanisha pesa ya Tanzania kuwa kubwa kulizo za nchi nyingine za afrika mashariki?
Je hili lina faida zozote au itakuwa ni sifa tu?
Kwa kuwa kuna mtazamo wa kuifanya Tanzania super power je hili litafanyika?
Lets wait and see!