teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau wa JamiiForums,
Naomba kujua ni Application gani ninayoniwezesha kuweka point (coordnates) au starting point halafu nitembee iwe kwa miguu au gari hadi point nyingine kisha inaniambia ni umbali gani niliotembea.
Natanguliza shukrani zangu kwenu