Je nitashika ujauzito kweli?

Ikula

Member
Feb 4, 2017
87
138
Nilianza period tarehe 4 mwezi huu nikamaliza tarehe 6. Mpenzi wangu akaja tarehe 16 tunasex na kesho anaondoka.

Najiuliza nitapata mimba kweli? Natamani mtoto jamani.
 
Utapata vizuri tena naona umelenga kwenye mtoto wa kiume kama Mungu akikujalia.

Lakini na wewe dada una umri gani mpaka usijue siku gani za wewe kuna chances kubwa ya kushika mimba
 
Nilianza period tarehe 4 mwezi huu nikamaliza tarehe 6. Mpenzi wangu akaja tarehe 16 tunasex na kesho anaondoka.

Najiuliza nitapata mimba kweli? Natamani mtoto jamani.
Kama ulitumia kondom, jua mimba ndo ishaingia hivyo. Utakuwa umesevu ukimwi tu lakini mimba iko palepale...

BTW... alikufikisha kileleni? Alikojoa mara ngapi??

Nataka nikusaidie kukalkuleti speed ya sperms ili nijue kama itakuwa mimba ya baamedi mtarajiwa au jambazi ajaye...
 
Toka afike alikojoa Mara tatu juzi,Jana kakojoa Mara mbili round zilizofuata alinikojolesha mm tu
 
Mbona napata hisia kama hapo ulipo upo katika hofu kuu ya kupata hiyo mimba?

Kurudi katika swali lako
Mimba utaipata kwa hiyo tarehe uliyofanya
We mbona hufanyagi... huoni kama itapata kutu??
 
Back
Top Bottom