Inamonga
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 779
- 474
Habari wadau,..
Nilitumia cheti cha mtu cha form four nikajiendeleza kielimu, nikasoma diploma ya ualimu...
Nimekuwa kazini kwa muda wa takribani miaka 20 serikalini...
Huyu bwana mkubwa alivyo ingia madarakani na hili sakata la vyeti feki, wamenigundua kuwa cheti cha f4 hakikuwa changu....
Mwezi uliopita nimesimamishiwa mshahara na kupewa barua yenye maelelezo yafuatayo...
'' umesimamishwa kazi kwa kosa la kutumia cheti cha f4 ambacho sio chako kujiendeleza kielimu, mwajiriwako wako anajiandaa kukuchukulia hatua za kisheria''
Swali langu ni kama nastahili kufuatilia mafao yangu NSSF au ndio imekula kwangu?
Msaada tafadhali..