hyo cm n kubwa huwez pata vya bure, maana hayo ya bure hua n bdhi ya cm nt al
kwan E61i ni simu ndogo mkuu?
0.facebook.com
hyo cm n kubwa huwez pata vya bure, maana hayo ya bure hua n bdhi ya cm nt al
Miezi kadhaa iliyopita nilikuwa naweza kutumia Facebook bure (lile toleo lisiloonyesha picha) kwa kutumia Vodacom; kwenye Nokia E61i. Kwa sasa natumia Nokia E72, siwezi kupata Facebook ya bure. Je nitafanyaje nipate hiyo huduma bure?

niliskia voda wanauza zile site zilizokua bure bei sikumbuki vizuri ila kuna kifurushi cha 3gb kwa sh 1000 kwa mwezi