Je, nitakuwa sahihi wanaume wenzangu?

Je, nitakuwa sahihi wanaume wenzangu?

Ukikubali kumwaga ndani kwa namna yeyote ile either kwa kulazimishwa au kwa kupenda.

Kama mwanaume kamili lazima ukubaliane na matokeo.

Kumpa mtoto jina lisilo halali ni kuikana damu yako mbele za mwenyezi Mungu.
 
Mkuu kwa sasa nimekubali tu ila kwenye kadi ndaandikisha jina lolote ambalo halihusian na upande wangu ila mtoto akishazaliwa na nikakubali kutokana na muonekano ndo ndambadiri jina na ukoo mahakaman
Wewe ni Mhehe wa Mufindi au Kilolo?
 
Alafu ukishamaliza hapo unamficha mkeo kuwa unamtoto nje?
 
Ila kina baba tunazingua sana. Leo unamkataa akifanikiwa unarudi mikono nyuma.

Na kwanini uzae na mchepuko?
 
Mkuu kwa sasa nimekubali tu ila kwenye kadi ndaandikisha jina lolote ambalo halihusian na upande wangu ila mtoto akishazaliwa na nikakubali kutokana na muonekano ndo ndambadiri jina na ukoo mahakamani

Mkuu kwa sasa nimekubali tu ila kwenye kadi ndaandikisha jina lolote ambalo halihusian na upande wangu ila mtoto akishazaliwa na nikakubali kutokana na muonekano ndo ndambadiri jina na ukoo mahakaman
hii mbona kali ya mwaka.Mtoto yupo tumboni tayari kuna kadi na jina ? du
 
Si bora tu umwache kama ni hivyo 🤨🤨...halafu wanawake sijui tunafeli wapi, unakubalije kuzaa na mwanaume wa mtu😬😬
Yan mwenyw nashangaa MTU ameshakwambia anafamilia yake labda ameoa bado Tu unashika mimba aiseee 🙌🙌🙌
 
hii mbona kali ya mwaka.Mtoto yupo tumboni tayari kuna kadi na jina ? du
Sio kali ya mwaka ni mambo ya kawaida ambayo nafikili hauelewi .

Iko hivi baada ya mimba kufikisha miezi mitatu inakubidi wewe na mkeo mwende zahanati /hospitali / kituo cha afya kuandikisha kadi ya mimba ya hiyo mimba pamoja na kupima afya zenu .

That why bwana jinga huyu Zombi Mweusi kaja kuomba ushauri .

Ila mimi namuona kama jinga sana , tahira na mbwa asiye na haya wala akili .

Aisee wewe mleta mada itoshe kukuambia kuwa uchepukaji ni kwa wenye akili sana sio wewe tahira unayetaka kumsaliti mtoto kisa kukaogopa ka mkeo tena utakuta ni kabeki tatu hakana hata kazi kanasubiri wewe ndiye ulete alafu kale .

Eti leo dume zima linaogopa kukaambia kuwa nimezalisha nje tayari kama sio ujinga ni nini ?

Bwana DeepPond njoo uone lijinga hili liliodandia mtumbwi wa wenye akili ingali likiwa ni zumbukukuku

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nimekusoma kiongozi,
 
Wakuu nina hoja ya kuwashirikisha,

Nina mchepuko na kama utapitia thread au michango kwenye thread za watu nazochangia utagundua nipo na ukweli

Ipo hivi mchepuko kabeba mimba ila kubeba mimba sio tatizo nataka kutompoteza mtoto nilichopanga ni kukwepa lawama kutoka kwa mtoto kuwa nilimkataa

Nataka kuandikisha jina la mtoto upande wa mama ili mtoto means atumie jina la baba na babu wa mama yangu mzazi

Je, nitakuwa sahihi wanaume wenzangu
Mbona umeshaanza kumkataa.
 
Hii inaonyesha ni kwakiasigani unamuogopa mkeo chief.
Kimsingi huyo ni mwanao na angalia namna nzuri utakayo handle hiyo situation hadi uhakikishe haumpotezi mwanao na atumie majina yako wewe kama baba yake mzazi, napia hakikisha hauketi mgogoro kwenye ndoa yako kwasababu ya zinaa iliyo zaa dhambi
 
Back
Top Bottom