Je! Nisamehe?

Je! Nisamehe?

Mjinga wewe usiyetambua kuwa kondomu inauzwa hata jero mazes kupata ugonjwa wa zina ni uzembe wa kiwango cha juu at first time unamuamini MTU unapiga bila condomu unaakili kweli wewweee sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mkuu,ila kinachoniumiza ni kwamba umri wake ulikuwa mdogo sana kupata huo ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Gono wanatakiwa wapate watu wa umri gani?

Yeye ni mtu mzima ( above 18) na yupo sexually active, sasa kama anashiriki tendo anaweza kupata ugonjwa wowote wa zinaa bila kujali umri!

Unashangaa gono, kuna watoto wanapata HIV wakiwa teenegers!
 
kama ulivyokuwa na ashki nae za kimapenzi/ ulivoshindwa kumilia hadi ndoa ndio uka- sex nae ila ikakubidi umgegede, basi hata yeye ndivyo alivyoshindwa kuishi pasipo kugegedwa, jambo la gono ni ajari hakuna anependa kuwa nayo, embu tafakari kama engekubania si ungepata taabu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20 years!!!!
Hizi chai muwe mnaziunga vizuri ili walau zinyweke
 
Hadi hapo, bado haujawa tayari kuoa mkubwa. Subiri kwanza
 
Back
Top Bottom