Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,191
- 4,168
Utoto ukiisha utaacha upumbafu
Haha eti sijawahi kula mzigo popote [emoji23] .. anyway Asante kwa ushauri mkuu ..Kijana stori nzima inaonyesha hujawashi kula mzigo popote pale...na hiki ndio kinachokuwasha unataka uwe nae akubless nakuhakikishia ukishapata Tunda hutokua na hamu nae kama ilivyo now we Rudisha majeshi ila swala la kusema Una FUTURE NAE wakati mpo Advance acha Ujinga.
#FALCON
Hivi ikitokea rafiki yako anataka kuoa/ kuolewa na mtu ambae umewahi kudate au tu ushawahi kunjunjana nae mara kadhaa, What will you do? Utamwambia kuwa yule mtu umewahi kuwa nae au utakausha tu?Natamani nidate na mwanamke yeyote nimuumize hadi achanganyikiwe pumbavu.
sema dogo shule hazijafungwa kwanini unatusumbua kaka zako?
Ubarikiwe sana mkuu [emoji1545][emoji1545]Kwa umri wako niseme tu kwamba una good reasoning, ila una kigugumizi kwenye maamuzi.
Kuhusu Kai, date nae ila usimpe moyo wako wote. Wekeza muda wako mwingi kwenye masomo.
JamiiForums mobile app
siwezi kusema neno paka hiyo senario initokeeHivi ikitokea rafiki yako anataka kuoa/ kuolewa na mtu ambae umewahi kudate au tu ushawahi kunjunjana nae mara kadhaa, What will you do? Utamwambia kuwa yule mtu umewahi kuwa nae au utakausha tu?
Kwanini ? Em tupe reason tupate kituSijasoma uzi lakin nijibu tu hapana..ukishaachana na mtu usirudiane nae.